thuma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 369
- 498
Wanaenda chooni kwa sababu yake so lazima watetee ugali wao!Mambo mengine yanahitaji facts not decision.
Uchunguzi ufanywe na wanahabari kama kafoji ijulikane kama hajafoji watu watulie.
Sasa viwatu vingine sijui mnatetea ujinga gani? Tetea kwa kuonyesha makonda hajafoji
Mkuu hujui ubaya wa njaa ndiyo maana.