Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Endeleeni kufa kwa Wivu Tanzania tunasonga mbele..Anawananga wale washingiliaji wa jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kufa kwa Wivu Tanzania tunasonga mbele..Anawananga wale washingiliaji wa jiwe
Unataka wamtaje nani, Lowasa?Kila kitu mpaka mmtaje huyo pombe wenu
Wewe ndio mbumbumbu kabisa, Huoni Raisi anavyojitahidi kuimarisha sekta ya utalii pamoja na kutengeneza mazingira mazuri ya utalii ikiwemo kuvitangaza vivutio vyetu?? Bila maelekezo yake na mikakati yake unafkiri tungeweza kua First tourist destination in Africa??We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo
Kwa kesi ya kununua sio miaka 11 ni zaidi ya hapo mkuu maana hizo ndege nadhani zote zimenunuliwa awamu ya kwanza mpaka zilivyoanza kupata majanga (majanga zaidi yameanza 2005 baada ya kuingia ubia na South Africa mpaka kufika 20o9 shirika likawa hoi na kuanza kukodi ndege ambapo baadae ndio likawa chali kabisa na Precision Air kuchukua nafasi)Ona sasa kaka, miaka 11 hakuna ndege yoyote iliyowahi nunuliwa.
Haters mwaka huu kazi wanayo. Itabidi watembee na Panadol au Piriton muda wote.View attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
Next time kamquote mama ako kule shamba ulipomtelekeza
Kwa kesi ya kununua sio miaka 11 ni zaidi ya hapo mkuu maana hizo ndege nadhani zote zimenunuliwa awamu ya kwanza mpaka zilivyoanza kupata majanga (majanga zaidi yameanza 2005 baada ya kuingia ubia na South Africa mpaka kufika 20o9 shirika likawa hoi na kuanza kukodi ndege ambapo baadae ndio likawa chali kabisa na Precision Air kuchukua nafasi)
View attachment 759671
View attachment 759672
View attachment 759673
HIZO JUU NDIO ZILIWAHI KUMILIKIWA NA ATCL AMBAPO HIZO BOEING ZIMEACHA KUFANYA KAZI 2009
HIZO CHINI ZENYEWE ZILIKUWA ZINAKODIWA
View attachment 759675
View attachment 759676
Yeo I laughed so hard man[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] let the guy enjoyWewe unakuwanga kama wazimu. Kila post unakuwanga pili ama watatu halafu kazi ni kusema hurah JPM, hurah Tanzania yangu. Kwani huwezi sema kitu kingine
Yeo I laughed so hard man[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] let the guy enjoy
Binafsi nafurahi sana ninja wangu Eliakeem akiwa front seat akifanya yakee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tusherehekee Matunda ya kua na Raisi Bora
[emoji23][emoji23][emoji23].. Ni mwendo wa Kukiwasha tu.. JPM Hana Mpinzani.. Yani siku akiondoka madarakani kwakweli ROHO ITAUMA SANA..Sasa anataka tusherehekee KQ. Ebo!!
Kwa kesi ya kununua sio miaka 11 ni zaidi ya hapo mkuu maana hizo ndege nadhani zote zimenunuliwa awamu ya kwanza mpaka zilivyoanza kupata majanga (majanga zaidi yameanza 2005 baada ya kuingia ubia na South Africa mpaka kufika 20o9 shirika likawa hoi na kuanza kukodi ndege ambapo baadae ndio likawa chali kabisa na Precision Air kuchukua nafasi)
Correction,ni Boeing 747 mkuu sio B744...
Airbus unauwezo hata wakukata ticket ya bombardier.?? 😀😀 Bombardier zimeletwa kufanya route za ndani(short route)kutokana na kutotumia mafuta sana. Bombardier CS 300 zitafanya route za ndani ya Africa. Boeing 787 zitafanya nje ya Africa😀😀 Hapo umeongea upuhuzi mtupu. Nitajie nchi ya Africa yenye A380. Usiwe mpumbavu😱Ni ndege ama Takataka izo wewe?
Izo takataka alitakiwa anunue Julius Nyerere wakti ule wa karne ya 20!
Dunia ya sasa hivi ni ya Airbus n.k
Tatizo huyo mjinga kazaliwa huko bush kakulia huko bush hana exposure na dunia inavoenda ndo mana anaona izo bombadia kama vile kipofu kaona mwezi!
Yani jamaa lishamba ilo sijui waliolipigia kura walikua wana akili gani sema nimekumbuka Julius Nyerere alisema tatizo kubwa ni UJINGA na wajinga wajinga mpo wengi kiseng.e!
Magufuli ndio kaileta hio ndege?Huraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Karne ya 20 kulikuwa na Q300 Bombardier ? 😀😀😛Unatafuta basha nini mbona kama unawashwa washwa na mm?
We unaweka picha za karne ya 20..kawadanganye uko kwenu shamba ulipowatelekeza wazazi wako
Naona ume quote kwa maumivu makali sana😀😀hahahahaha miafrika🙄🙄🙄watazame wanavyomwaga mapovu na kutusiana wenyewe kwa wenyewe kisa mambo ya kipumbavu kama utuaji wa ndege😀😀😀😀...ndege zenyewe ni za ng'ambo...wenyewe wana mitungi y chang'aa wanazoziita bombadier..smh...huzuni ilioje🙁🙁🙁
Kama hutaki kajinyongeKila kitu mpaka mmtaje huyo pombe wenu
Sasa naanza kumuelewa JPM aliposema mlima kilimanjaro nao uzungushwe ukutaView attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
Jay una hasira sana ukisikia habari kama hizi.nitakwambia kama mwenzako alivokwambia ..dont quote me with ur stupidity