Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Anawananga wale washingiliaji wa jiwe
Endeleeni kufa kwa Wivu Tanzania tunasonga mbele..
IMG_20180428_223233.jpg
 
We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo
Wewe ndio mbumbumbu kabisa, Huoni Raisi anavyojitahidi kuimarisha sekta ya utalii pamoja na kutengeneza mazingira mazuri ya utalii ikiwemo kuvitangaza vivutio vyetu?? Bila maelekezo yake na mikakati yake unafkiri tungeweza kua First tourist destination in Africa??
 
Ona sasa kaka, miaka 11 hakuna ndege yoyote iliyowahi nunuliwa.
Kwa kesi ya kununua sio miaka 11 ni zaidi ya hapo mkuu maana hizo ndege nadhani zote zimenunuliwa awamu ya kwanza mpaka zilivyoanza kupata majanga (majanga zaidi yameanza 2005 baada ya kuingia ubia na South Africa mpaka kufika 20o9 shirika likawa hoi na kuanza kukodi ndege ambapo baadae ndio likawa chali kabisa na Precision Air kuchukua nafasi)
Rufiji.png

Kiimanjaro.jpg

Alieturoga.jpg

HIZO JUU NDIO ZILIWAHI KUMILIKIWA NA ATCL AMBAPO HIZO BOEING ZIMEACHA KUFANYA KAZI 2009

HIZO CHINI ZENYEWE ZILIKUWA ZINAKODIWA
1.jpg

Wing of.jpg
 
Kwa kesi ya kununua sio miaka 11 ni zaidi ya hapo mkuu maana hizo ndege nadhani zote zimenunuliwa awamu ya kwanza mpaka zilivyoanza kupata majanga (majanga zaidi yameanza 2005 baada ya kuingia ubia na South Africa mpaka kufika 20o9 shirika likawa hoi na kuanza kukodi ndege ambapo baadae ndio likawa chali kabisa na Precision Air kuchukua nafasi)
View attachment 759671
View attachment 759672
View attachment 759673

HIZO JUU NDIO ZILIWAHI KUMILIKIWA NA ATCL AMBAPO HIZO BOEING ZIMEACHA KUFANYA KAZI 2009

HIZO CHINI ZENYEWE ZILIKUWA ZINAKODIWA
View attachment 759675
View attachment 759676

Aksante kwa kunijuza. Kwa hiyo kuna miaka kadhaa hatujawahi kununua ndege!!
So let's celebrate for our achievement. Tujipongeze MAANA hakuna atakaye kuja kufanya hivyo. Kwa kuwa wengine ni competitors.
 
Wewe unakuwanga kama wazimu. Kila post unakuwanga pili ama watatu halafu kazi ni kusema hurah JPM, hurah Tanzania yangu. Kwani huwezi sema kitu kingine
Yeo I laughed so hard man[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] let the guy enjoy

Binafsi nafurahi sana ninja wangu Eliakeem akiwa front seat akifanya yakee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha tusherehekee Matunda ya kua na Raisi Bora
 
Sasa anataka tusherehekee KQ. Ebo!!
 
Kwa kesi ya kununua sio miaka 11 ni zaidi ya hapo mkuu maana hizo ndege nadhani zote zimenunuliwa awamu ya kwanza mpaka zilivyoanza kupata majanga (majanga zaidi yameanza 2005 baada ya kuingia ubia na South Africa mpaka kufika 20o9 shirika likawa hoi na kuanza kukodi ndege ambapo baadae ndio likawa chali kabisa na Precision Air kuchukua nafasi)

Tuliingia ubia na SA 1997 ndugu, kama sikosei
 
hahahahaha miafrika🙄🙄🙄watazame wanavyomwaga mapovu na kutusiana wenyewe kwa wenyewe kisa mambo ya kipumbavu kama utuaji wa ndege😀😀😀😀...ndege zenyewe ni za ng'ambo...wenyewe wana mitungi y chang'aa wanazoziita bombadier..smh...huzuni ilioje🙁🙁🙁
 
Ni ndege ama Takataka izo wewe?
Izo takataka alitakiwa anunue Julius Nyerere wakti ule wa karne ya 20!
Dunia ya sasa hivi ni ya Airbus n.k

Tatizo huyo mjinga kazaliwa huko bush kakulia huko bush hana exposure na dunia inavoenda ndo mana anaona izo bombadia kama vile kipofu kaona mwezi!

Yani jamaa lishamba ilo sijui waliolipigia kura walikua wana akili gani sema nimekumbuka Julius Nyerere alisema tatizo kubwa ni UJINGA na wajinga wajinga mpo wengi kiseng.e!
Airbus unauwezo hata wakukata ticket ya bombardier.?? 😀😀 Bombardier zimeletwa kufanya route za ndani(short route)kutokana na kutotumia mafuta sana. Bombardier CS 300 zitafanya route za ndani ya Africa. Boeing 787 zitafanya nje ya Africa😀😀 Hapo umeongea upuhuzi mtupu. Nitajie nchi ya Africa yenye A380. Usiwe mpumbavu😱
 
hahahahaha miafrika🙄🙄🙄watazame wanavyomwaga mapovu na kutusiana wenyewe kwa wenyewe kisa mambo ya kipumbavu kama utuaji wa ndege😀😀😀😀...ndege zenyewe ni za ng'ambo...wenyewe wana mitungi y chang'aa wanazoziita bombadier..smh...huzuni ilioje🙁🙁🙁
Naona ume quote kwa maumivu makali sana😀😀
 
Back
Top Bottom