figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu
Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu
Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na kumfanya apoteze uelekeo. Waujai hawataki mtu wa kuwakosoa, wanakuvaa bila kujali wewe nani.
Kumbuka Mwigulu Nchemba akikaa kando, Serikali inavunjwa..
Je, ikitokea Serikali kuvunjwa. Patrobas Katambi ataupata uwaziri Mkuu?
Je, Mwigulu atashitakiwa kwa uhujumu Uchumi?
Je, Ndoto ya kuwa rais 2030 itakuwa imefutika?
Kumbuka waliokuwa wanatajwa Urais 2030 ni Riziwani Kiwete, Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba.
Namuona Riziwani Kikwete ikipita bila kupingwa mbio za Urais 2030.
Mwigulu Mguu nyuma Mguu Mbele.
MY TAKE
Hamuwezi kumwaga damu ya watu mbaki salama. Mtagombania fito lazima.
Nashauri Mwambien arudi kwao Singida akalime alizeti. Tumechoka harufu ya damu.
Pia soma;
Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya
NANI KAMTUMA MWAIPOPO KUCHAFUA JINA LA MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU.