Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
siku nyingi hayuko kwenye zile ziara zake uchwara. maana yake shida imeanza siku nyingi.Aisee wamem trab na trat tayari? Ogopa siasa.
ufalme umefitinika huu
siku nyingi hayuko kwenye zile ziara zake uchwara. maana yake shida imeanza siku nyingi.Aisee wamem trab na trat tayari? Ogopa siasa.
Chochea kuni mbichi mpaka ziwake.View attachment 3664941
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu
Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu
Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na kumfanya apoteze uelekeo. Waujai hawataki mtu wa kuwakosoa, wanakuvaa bila kujali wewe nani.
Kumbuka Mwigulu Nchemba akikaa kando, Serikali inavunjwa..
Je, ikitokea Serikali kuvunjwa. Patrobas Katambi ataupata uwaziri Mkuu?
Je, Mwigulu atashitakiwa kwa uhujumu Uchumi?
Je, Ndoto ya kuwa rais 2030 itakuwa imefutika?
Kumbuka waliokuwa wanatajwa Urais 2030 ni Riziwani Kiwete, Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba.
Namuona Riziwani Kikwete ikipita bila kupingwa mbio za Urais 2030.
Mwigulu Mguu nyuma Mguu Mbele.
MY TAKE
Hamuwezi kumwaga damu ya watu mbaki salama. Mtagombania fito lazima.
Nashauri Mwambien arudi kwao Singida akalime alizeti. Tumechoka harufu ya damu.
Pia soma;
Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya
NANI KAMTUMA MWAIPOPO KUCHAFUA JINA LA MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU.
View attachment 3664981
Kila uzi unacoment "ok" Mamayo😂 mmepigwa na kitu kizito. Jumatatu ishakuwa weekend!ok.🐒
View attachment 3664941
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu
Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu
Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na kumfanya apoteze uelekeo. Waujai hawataki mtu wa kuwakosoa, wanakuvaa bila kujali wewe nani.
Kumbuka Mwigulu Nchemba akikaa kando, Serikali inavunjwa..
Je, ikitokea Serikali kuvunjwa. Patrobas Katambi ataupata uwaziri Mkuu?
Je, Mwigulu atashitakiwa kwa uhujumu Uchumi?
Je, Ndoto ya kuwa rais 2030 itakuwa imefutika?
Kumbuka waliokuwa wanatajwa Urais 2030 ni Riziwani Kiwete, Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba.
Namuona Riziwani Kikwete ikipita bila kupingwa mbio za Urais 2030.
Mwigulu Mguu nyuma Mguu Mbele.
MY TAKE
Hamuwezi kumwaga damu ya watu mbaki salama. Mtagombania fito lazima.
Nashauri Mwambien arudi kwao Singida akalime alizeti. Tumechoka harufu ya damu.
Pia soma;
Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya
NANI KAMTUMA MWAIPOPO KUCHAFUA JINA LA MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU.
View attachment 3664981
Linapokuja swala la power struggle basi urafiki unakaa pembeni
Kwa hali ilivyo, na hili unalolibashiri likitokea, nakubaliana na wewe 100%, 2030 Ridhiwani anachukua nchi kiulaini.
Kwa hiyo umekwishaanza kujipanga mstari kushangilia huko kwenye timu mpya!Kwa hali ilivyo, na hili unalolibashiri likitokea, nakubaliana na wewe 100%, 2030 Ridhiwani anachukua nchi kiulaini.
Unamsoma vibaya na kushindwa kumwelewa huyo "muuaji wa waTanganyika"; au labda niseme hujui hadhi waliyonayo hao "chawa" kwa mhusika.Mwigulu ni chawa mzuri sana wa muuaji wa Watanganyika.
Ww utafanyanini kumzuia?Kwa hiyo umekwishaanza kujipanga mstari kushangilia huko kwenye timu mpya!
Watu wa aina yenu ni hasara kubwa kwa taifa.
Huyu anayezungumza kwenye hiyo video; kwa upande mmoja nampongeza kwa kuwa tofauti na tuliowazoea kabla yake.
Ni mtu asiyetumia ulaghai/ uongouongo/unafiki; ni muwazi kabisa kwa anayoyafikiri yeye.
Kwa hili, bila kujali anayoyazungumza nampongeza kwa dhati kabisa.
WaTanzania, siyo mimi.Ww utafanyanini kumzuia?