Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Kwenye analojia yako, unamaanishi mimi muunga mkono Mh. Ridhiwani ni FISI, na huyo Mh. Ridhiwani ninayemuunga mkono ni MZOGA! Sasa, kama unajiamini usijifiche kwenye fake ID, rudia kuyatamka haya kupitia platform zinazokutambulisha waziwazi. Ili sisi FISI na MIZOGA tukutambue.WaTanzania, siyo mimi.
Wewe umejibainisha sana kuwa kama fisi mwenye kutafuta mizoga kila sehemu, ili mradi tu upate mlo wa kila siku.
Aina ya watu duni sana.