figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
nimeona clip sheikh mwaipopo anamsema mwigulu ,mbele ya wana habari
Labda wanataka wamuweke mpemba mwengine ili safu ya juu yote isome kisiwani.
Jamvi la Habari wanasemaje?Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu
Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na kumfanya apoteze uelekeo. Waujai hawataki mtu wa kuwakosoa, wanakuvaa bila kujali wewe nani.
Kumbuka Mwigulu Nchemba akikaa kando, Serikali inavunjwa..
Je, ikitokea Serikali kuvunjwa. Patrobas Katambi ataupata uwaziri Mkuu?
Je, Mwigulu atashitakiwa kwa uhujumu Uchumi?
Je, Ndoto ya kuwa rais 2030 itakuwa imefutika?
Kumbuka waliokuwa wanatajwa Urais 2030 ni Riziwani Kiwete, Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba.
Namuona Riziwani Kikwete ikipita bila kupingwa mbio za Urais 2030.
Mwigulu Mguu nyuma Mguu Mbele.
MY TAKE
Hamuwezi kumwaga damu ya watu mbaki salama. Mtagombania fito lazima.
Nashauri Mwambien arudi kwao Singida akalime alizeti. Tumechoka harufu ya damu.
NANI KAMTUMA MWAIPOPO KUCHAFUA JINA LA MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU.
Last time alikuwa ni Simai nani sijui aliyemuita Nchimbi Yuda! Wapenda mabadiliko ndiyo furaha yetu kuwaona wakiparuana na kuvurugana.nimeona clip sheikh mwaipopo anamsema mwigulu ,mbele ya wana habari
Ivi hapa Tanzania kura ndo zinaamua?Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu
Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na kumfanya apoteze uelekeo. Waujai hawataki mtu wa kuwakosoa, wanakuvaa bila kujali wewe nani.
Kumbuka Mwigulu Nchemba akikaa kando, Serikali inavunjwa..
Je, ikitokea Serikali kuvunjwa. Patrobas Katambi ataupata uwaziri Mkuu?
Je, Mwigulu atashitakiwa kwa uhujumu Uchumi?
Je, Ndoto ya kuwa rais 2030 itakuwa imefutika?
Kumbuka waliokuwa wanatajwa Urais 2030 ni Riziwani Kiwete, Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba.
Namuona Riziwani Kikwete ikipita bila kupingwa mbio za Urais 2030.
Mwigulu Mguu nyuma Mguu Mbele.
MY TAKE
Hamuwezi kumwaga damu ya watu mbaki salama. Mtagombania fito lazima.
Nashauri Mwambien arudi kwao Singida akalime alizeti. Tumechoka harufu ya damu.
NANI KAMTUMA MWAIPOPO KUCHAFUA JINA LA MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU.
Jeshi la mtu mmoja!
hata hivyo kuamini kinachosemwa bila msemaji kutoa tamko si rahisi kuaminikanimeona clip sheikh mwaipopo anamsema mwigulu ,mbele ya wana habari
Bado sana kwenye siasa wewe kumbe, EL aliwahi kuwa best wa JK, badae akatengenezewa ajali ya kisiasa na huyu huyo best ake.
Ila ccm wanajua sana siasa ona wanavyotuzubaisha na mambo yao ..yaani mnasahau mamho yenu yoote..Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu
Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na kumfanya apoteze uelekeo. Waujai hawataki mtu wa kuwakosoa, wanakuvaa bila kujali wewe nani.
Kumbuka Mwigulu Nchemba akikaa kando, Serikali inavunjwa..
Je, ikitokea Serikali kuvunjwa. Patrobas Katambi ataupata uwaziri Mkuu?
Je, Mwigulu atashitakiwa kwa uhujumu Uchumi?
Je, Ndoto ya kuwa rais 2030 itakuwa imefutika?
Kumbuka waliokuwa wanatajwa Urais 2030 ni Riziwani Kiwete, Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba.
Namuona Riziwani Kikwete ikipita bila kupingwa mbio za Urais 2030.
Mwigulu Mguu nyuma Mguu Mbele.
MY TAKE
Hamuwezi kumwaga damu ya watu mbaki salama. Mtagombania fito lazima.
Nashauri Mwambien arudi kwao Singida akalime alizeti. Tumechoka harufu ya damu.
Pia soma
Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya
NANI KAMTUMA MWAIPOPO KUCHAFUA JINA LA MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU.
Halina impact yoyote..Lipo kama zezeta hivi..Huko ndani inaoneka hakupoi na hawachekeshi.Sema yule msingidani naye ni mzigo hata akitolewa mambo yataenda tu vizuri.
Muuaji hana rafiki. Mimi nafurahi wawndelee hivi hivi. Ili na sisi tupumue
Hivi hawa si walifungiwa? Wanataka mauaji yawe ya kimya kimya, ukiongelea unafanya watu waunganishe doti.Jamvi la Habari wanasemaje?
Aahaaaa,chuma cha kinyaturu