Baada ya Emmanuel Nchimbi sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba

ok.🐒
 
nimeona clip sheikh mwaipopo anamsema mwigulu ,mbele ya wana habari
Unadhani Unadhani kafanya bahati mbaya. Kwanini aaingemuuliza Mwigulu kama ndo katuma meseji. Kwanini aongee na wanahabari badala ya mhusika. Imepangwa hiyo. Na ni namba ya Mwigulu kweli. Kumbuka usajili ni fingerprints siku hizi..
 
Unadhani Unadhani kafanya bahati mbaya. Kwanini aaingemuuliza Mwigulu kama ndo katuma meseji. Kwanini aongee na wanahabari badala ya mhusika. Imepangwa hiyo. Na ni namba ya Mwigulu kweli. Kumbuka usajili ni fingerprints siku hizi..
nakuelewa kuwa imepangwa ,huko ndani kuzito
 
Nyerere alikuwa sahihi aliposema ' "Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha."
Kwa nia njema kabisa,namshauri Mwigulu aachie ngazi mara moja.Asisubiri vikao.Maana imeshaamriwa aondoke akiwa hai au kwa RIP.Yeye mwenyewe akiwa kwenye moja ya ziara zake aliwahi kusema kuwa kuna watu walimkalia vikao vya kumhujumu.
 
Tuliambiwa na nabii siku nyingi sana kwamba wakimalizana na wapinzani wataanza kukulana wenyewe, tabia ya mchawi inajulikana ujue, unamaliza ndugu zako then unaanza kutoa wanao...
 
Ata kw nchimbi ilianzaga ivi ivi kimasihara masihara tu kilichotokea saiv sote tumeona subir tuone ili la Muigulu litaishia wapi
 
Hata kama huyo riziwani atagombea baada ya vigogo wenye nia kugombea kupukutishwa mnadhani ataupata urais kirahisi? Kutakuwa na shughuli pevu ya oktoba 29 ni cha mtoto. Katiba mpya ije mapema kunusuru mbilinge zijazo
 
Huyo si wa kuhurumiwa hata kidogo. Na CCM yake wameumiza wengi.
 
Hii kali, namba mbili out, tatu naye anashughulikiwa, nne, tano, sita, saba, nane, tisa, kumi nao watatupwa nje kwa mtindo huu. Wale wakuu wa idara nyeti nao wakae chonjo watabadilishwa tu!
 
Hii inaitwa safishasafisha, smooth the road kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Wananyukana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama chao na mwenye nguvu ndiye anawapigisha shoti wenzake, ni michezo yao ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…