Baada ya Emmanuel Nchimbi sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba

Ni zamu ya Wakristo tena Mkristo pure wa kienyeji sio cross breed wala wa kuchovya
 
Chochea kuni mbichi mpaka ziwake.
 
Yaani siamini macho yangu Mwigulu huyu aliyekuwa anapendwa na mama.Haya maisha jmn anything can happen aendelee kusali tu
 
Baadhi ya walemavu wana shida sana.
Kuna huyu halafu kuna yule Zeruzeru
 
mbwa kala mbwa ugomvi wa ndugu huo!!
 

Hivi waliohusika na MC Pilipili waneshafikishwa katika vyombo vya Dola,???
 
Katika watu nisoweza kunyanyua kidole, au hata kutikisa mdomo yakiwapata, ni huyu maskafu; au yule Kabuti la Maganda.

Bahati mbaya sana taifa hili kuwa na watu wa aina ya hawa.
 
Kwa hali ilivyo, na hili unalolibashiri likitokea, nakubaliana na wewe 100%, 2030 Ridhiwani anachukua nchi kiulaini.
Kwa hiyo umekwishaanza kujipanga mstari kushangilia huko kwenye timu mpya!

Watu wa aina yenu ni hasara kubwa kwa taifa.

Huyu anayezungumza kwenye hiyo video; kwa upande mmoja nampongeza kwa kuwa tofauti na tuliowazoea kabla yake.
Ni mtu asiyetumia ulaghai/ uongouongo/unafiki; ni muwazi kabisa kwa anayoyafikiri yeye.
Kwa hili, bila kujali anayoyazungumza nampongeza kwa dhati kabisa.
 
Mwigulu ni chawa mzuri sana wa muuaji wa Watanganyika.
Unamsoma vibaya na kushindwa kumwelewa huyo "muuaji wa waTanganyika"; au labda niseme hujui hadhi waliyonayo hao "chawa" kwa mhusika.

Hawa ni 'expendable' apendavyo "muuaji wa waTanganyika" Hana deni na chawa.
 
Ww utafanyanini kumzuia?
 
MWAIPOPO NDIYO SPEAKER YAO.. HAPO AKIONGEA NA HABIB MCHANE.. BASI ELEWA TU KUWA NDIYO BASI TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…