Kwenye analojia yako, unamaanishi mimi muunga mkono Mh. Ridhiwani ni FISI, na huyo Mh. Ridhiwani ninayemuunga mkono ni MZOGA! Sasa, kama unajiamini usijifiche kwenye fake ID, rudia kuyatamka haya kupitia platform zinazokutambulisha waziwazi. Ili sisi FISI na MIZOGA tukutambue.