Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

hahahahah mechi ya hivyo hainogi mtu unajua kabisa baada ya dk90 ni moja moja

weeee kwa osokoni kuna cha kunogaaaaaa??????

BENCHI LA UFUNDI HAPO HALITAKIWI KULALA SIKU MOJA NZIMA KABLA YA MECHI

yaani kama wazee wa simba ya yanga siku moja kabla ya menchi ya simba na yanga
 
weeee kwa osokoni kuna cha kunogaaaaaa??????

BENCHI LA UFUNDI HAPO HALITAKIWI KULALA SIKU MOJA NZIMA KABLA YA MECHI

yaani kama wazee wa simba ya yanga siku moja kabla ya menchi ya simba na yanga

vya osokoni ni dabo dabo unaona maruweruwe na bado unaomba sorry wewe hahaha
 
Huyo osokoni mie ningempa muda nikajipendekeza tena. Akikubali tu naenda, sivui nguo najifanya nina haraka na osokoni. Kwenye kipochi nina pilipili yangu ya unga ile nyekundu ya kulia mihogo naitegesha mahali karibu, gemu inaanza... ikifika mahali kakolea napapasa pochi mikono naipakaza issue.... nachomoa muwa namshika na ile pilipili... kabla hajakaa vizuri na dip mkono pale kwenye unga napakaza fasta kwenye kitundu kile! game over, akakojolee chooni mie nduki!
 
ila ukiwa sana osokoni type ujanani unaweza ku lost maisha so easily..manake women hawakubabaishi..wale ambao wanababaishwa easily na women hutafuta mmoja tu na kutulia na kujenga maisha...nina mifano ya kaka zangu..

Mkubwa umeongea bonge la pointi...




sometimes in order to win in life you need to be a person with fear..
 
una wakati Lara anakuwa amekunywa Banana wine yenye konyagi ndani
 
ahahahahaaaaaaa osokoni katisha afu hili jina limenichekesha sana sijajua ni asili ya wapi Lara 1
 

hahahahahaaaaa... , hiyo ndo dawa ya hao sistadu wenye nyodo....
 

Hapo utakuwa unatafuta kipigo heavy, dawa ni kukaa mbali na Osokoni.
Yani me mtu nikishamuacha hata tukikutana njiani nabadilisha njia, kuna watu wanajua kulipa visasi mweeee!
 
insuarance brooker game zero...osokoni inaonekana ana game la juu ndo maana dada kila mara anamrudia.angemtoa nje bila nguo
 
Nimeipenda!
sio tu gama na kuwa abusive pia..wanawake wengi ni 'mandondocha' wa wanaume abusive na wanaopiga game vizuri...huyo msichana hata aolewe na nani huyo jamaa atajipigia tu daily...
 
siyapatii picha maumivu ya rafiki yako
 
insuarance brooker game zero...osokoni inaonekana ana game la juu ndo maana dada kila mara anamrudia.angemtoa nje bila nguo
Osokoni ni the man of principle, wala si mambo ya game, muaminifu, ana mda nae, anakubana mpaka raha, kila dakika anapiga simu, anamsindikiza shopping, hata mitoko ya wanawake anafosi kuja mradi tu awe na baby yake, SEMA TU HANA MBESA! Vinginevo ni a man to die for! Anamsaidia hadi report za ofisini!

But this new side of him is dangerous oooooooooooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…