Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha kwani umbea dhambi lara moko isingekuwa umbea stori angepata wapi
there is a very thin line between a gentleman and a bad boy! very...
mhhhhhhh majanga osokoni kalipa kisasi mwambie bestito aachane nae kimoja wa nini huyo osokoni kutunza hajui na bado unamganda achilia mbali kamdhalilisha
Hahaahaahah.🙂 Basi sawa.
Osokoni ni the man of principle, wala si mambo ya game, muaminifu, ana mda nae, anakubana mpaka raha, kila dakika anapiga simu, anamsindikiza shopping, hata mitoko ya wanawake anafosi kuja mradi tu awe na baby yake, SEMA TU HANA MBESA! Vinginevo ni a man to die for! Anamsaidia hadi report za ofisini!
But this new side of him is dangerous oooooooooooh!
Sasa urekebishe hayo maneno fasta!!!!!!
Hahahahahahaaaaaaaa! miss neddy utajuuuuuta kumention watu! Mmezoea kunionea Lara 1, hapo chacha! Mie langu jicho!
Haze itaondoka nikikupiga kitu cha OsokoniAm in a haze, maneno gani? Sielewi hata.
Osokoni anajivunia game yake...kinachomrudisha shosti kwake ndio icho tu hajasuguliwa uzuri sehem nyingine
kutunza nini? kwani wewe ni kifaranga ndio utunzwe?
Haze itaondoka nikikupiga kitu cha Osokoni