Baada ya Hamas kurusha makombola 10 Huko Israel Majeshi ya Israel leo yamejibu kwa shambulio kubwa sana

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo.

Wapalestina wanalielezea shambulizi hilo kama "tetemeko la ardhi."

Haya yanajiri baada ya Gaza kurusha makombora 10 ndani ya Israel kutoka eneo hili na kuwajeruhi Waisraeli kadhaa.

Hivi FaizaFoxy aka FaizaFixy aliishiaga wapi? Yungalipo kweli huyu m'bibi wa watu?
Aliongoza the ignominious walkout from JF toka pale Assad alipofurumishwa kwa sababu walikuwa wakiamini kwamba dikteta Assad alikuwa akilindwa na Russia na Iran ambao waliamini kimakosa kwamba walikuwa ni viboko wa Israel na nchi za Nato.
 
Hawa viumbe huwa wanadanganyana sana sana tu. Kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon Ritz Adiosamigo mdogoye walikuwa wanawasifia mpaka wanawaramba miguu na sehemu za Siri sasa siku ikaja Israel ikawageukia walipigwa kama NGOMA mpaka ile Commanding-Chain ya Gaidi Hassan Nasrallah wakapukutishwa wote pamoja na Nasrallah mwenyewe. Mpaka sasa hivi wamenyamaza kimya hawasemi lolote kuhusu Hezbollah wanajifanya hata hawajui yanayotendeka huko Lebanon.
 
Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo.
Wapalestina wanalielezea shambulizi hilo kama "tetemeko la ardhi."
Haya yanajiri baada ya Gaza kurusha makombora 10 ndani ya Israel kutoka eneo hili na kuwajeruhi Waisraeli kadhaa.
Hivi Mimi sielewagi kidogo hapo kwenye kuamlisha watu wahame then ndo ushambulie, maana yake si na hao Hamas wanahama na zana zao zote?
 
Hii ndiyo maana Jeshi la Israel linaitwa “The most moral army in the world” hakuna Jeshi jingine linaloweza kupigana na adui harafu linamlisha na kumpatia mahitaji yote ya ki binadamu isipokuwa IDF Hakuna jeshi lolote duniani ambalo likitaka kushambulia maeneo ya raia linawapa taarifa wakazi wa Endo hilo isipokuwa IDF, Hakuna jeshi lolote duniani linaloweza kuwaambia watu waondoke sehemu kwa kuwa linatarajia kushambulia eneo hilo isipokuwa IDF na ndiyo maana linaitwa “The most moral army in the world”. Nikija kwenye hitimisho lako kuwa nafasi hiyo wanaweza kuvitumia pia Hamas kuhama na zana zao hiyo ni kweli kabisa wanafanya hivyo na ndiyo maana Magaidi hao wana nyodo sana wanajua Israel hawawezi kushambulia eneo bila taarifa isipokuwa kwa sababu maalum kama vile kuwalenga magaidi mmoja mmoja au vikundi vyao.
Hizo zinaitwa Military Ethics lazima zifuatwe hakuna namna.
 
Magaidi wamegeuza raia kinga. IDF wanajitahidi kuzuia na kupunguza vifo vya raia.

Kingine IDF wanalenga zaidi miundombinu ya Hamas. Hamas wakihama eneo mpaka kwenda kuisimika tena hiyo mitambo inawachukua muda na wanaweza kuonekana na makachero wakati wa kuhamisha.

Israel angeamua liwalo na liwe akapiga hovyo hii vita ingeshaisha mbona.
 
Nakazia hoja. Magaidi HAMAS ni kweli nao huutumia mwanya huo kutoroka lakini kwa BAHATI MBAYA SANA kwao inawawia vigumu kuhama pamoja na mitambo yao (silaha)zilizotumika kurusha makombora. Hiyo mitambo na HAMAS walioitumia ndo Mwamba anajisevia chap ikiwa ni pamoja na kuharibu/kuteketeza/kusambaratisha handaki lao kwani nalo ni sehemu ya silaha...
 
Magaidi wamegeuza raia kinga. IDF wanajitahidi kuzuia na kupunguza vifo vya raia.

Kingine IDF wanalenga zaidi miundombinu ya Hamas. Hamas wakihama eneo mpaka kwenda kuisimika tena hiyo mitambo inawachukua muda na wanaweza kuonekana na makachero wakati wa kuhamisha.

Israel angeamua liwalo na liwe akapiga hovyo hii vita ingeshaisha mbona.
IDF ni weledi sana katika harakati zao za kuDeal na hao magaidi. Si uliona jinsi ilivyokuwa nyepesi kudeal na Hezbollah ambao wao Hezb. walikuwa na makambi rasmi na hawakujichanganya sana na raia ila walikuwa wanahifadhi silaha maeneo ya Raia na kwenye miundombinu ya Kijamii. tofauti na HAMAS ambao wako randomly dispersed na hawavai kombat bali huwatumia raia kama ngao(Human shield).
 
Hawa viumbe huwa wanadanganyana sana sana tu. Kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon Ritz Adiosamigo mdogoye walikuwa wanawasifia mpaka wanawaramba miguu na sehemu za Siri sasa siku ikaja Israel ikawageukia walipigwa kama NGOMA mpaka ile Commanding-Chain ya Gaidi Hassan Nasrallah wakapukutishwa wote pamoja na Nasrallah mwenyewe. Mpaka sasa hivi wamenyamaza kimya hawasemi lolote kuhusu Hezbollah wanajifanya hata hawajui yanayotendeka huko Lebanon.
We dogo wacha unafiki Hezbullah nani kakuambia kachakazwa. We endelea kuota Hezbullah kuto kurudisha mapigo ni matatizo ya siasa kule Lebanon

Hezbullah anataka kuona serekali ya Lebanon itafanya nini kuchuana na Israel, wakishindwa atarudi yeye kuwanyosha.

Hayo mambo ya kanisani ndio mnarambana miguu na sehemu za siri, kwa Waislam huo mchezo hakuna..
 
We dogo wacha unafiki Hezbullah nani kakuambia kachakazwa. We endelea kuota Hezbullah kuto kurudisha mapigo ni matatixo ya siasa kule Lebanon

Hezbullah anataka kuona serekali ya Lebanon itafanya nini kuchuana na Israel, wakishindwa atarudi yeye kuwanyosha.

Hayo mambo ya kanisani ndio mnarambana miguu na sehemu za siri, kwa Waislam huo mchezo hakuna..
Umesahau na kuoa vitoto vidogo.
 
Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo.

Wapalestina wanalielezea shambulizi hilo kama "tetemeko la ardhi."

Haya yanajiri baada ya Gaza kurusha makombora 10 ndani ya Israel kutoka eneo hili na kuwajeruhi Waisraeli kadhaa.

View attachment 3297285
Moto moto, ni mwendo wa kuwahishwa kwa bikra 72 tu.
 
Yupo Gaza mapangoni ameenda anapigana Sex Jihad kwa kuwapunguzia vifuko vilivyojaa wanamgambo wa HAMAS wanaoishi kama Panya kwenye Mashimo.
Dah! Bibi wa watu, mbona kayatimba kihivyo? Vidume wanawania mabikra 72 na mito ya pombe kule Firdaus. Sasa yy itakuwaje atakapofika huko? Fanyeni hima mumshauri arudi chap'.
 
Back
Top Bottom