Hii sio nuclear kweli.Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo.
Wapalestina wanalielezea shambulizi hilo kama "tetemeko la ardhi."
Haya yanajiri baada ya Gaza kurusha makombora 10 ndani ya Israel kutoka eneo hili na kuwajeruhi Waisraeli kadhaa.
View attachment 3297285