Nashangaa tunataka kuzibiana mpaka kuombeana sasa jamani?Hii Imeenda vizuri kweli kweli
Kwa hiyo "Walokole" wote tayari wapo mbinguni?hili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.
hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?
Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.
Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.
Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.
Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.
Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
WatakomaNashangaa tunataka kuzibiana mpaka kuombeana sasa jamani?
Yani watu wako serious kabisa wanauliza kwa nini fulani anaombewa sana?
Yani ni kama wanamuonea wivu marehemu vile.
Ndiyo akili gani hiyo?
Hili gazeti lako halina pointhili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.
hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?
Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.
Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.
Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.
Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.
Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
Mbona una hasira sana na kwa Taarifa Yako ataombewa katika Parokia zote Tanzania Hadi ZanzibarAombewe kwa lipi??wanafiki tuh hawana lolote na udini wao,if they real love him like the way they pretend it to be waende kwa Gwajima wakaongee nae AMFUFUE ILI ARUDI NA KAZI IENDELEE..
MRUMI anazingatia MAOKOTO,lazima watu wapeleke tozo na kodi kwa MRUMI siku hiyo.Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.
View attachment 2939575
Walio hai wanajua watakufa, lakini wafu hawajui neno lolote, waache wamepata jambo lakuwapotezea muda😚😚😚Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.
View attachment 2939575
Hivi ni kwa mujibu wa dhehebu lako mnavyoyafahamu na kuyafafanua maandiko matakatifu, Roho wa Mungu tunayeamini ndiye mwalimu mwenye kuongoza na "msemesha ndimi" za kanisa, anao utajiri makubwa wa karama, anampa huyu utambuzi na kumfumbia mwingine, yote ni kwa sifa na utukufu wa Mungu, kabla ya madhehebu yenu, kanisa katoliki lipo likifafanua maandiko kwa maongozi ya Roho wa Milele, kwa mamlaka yake kanisa linatumia vyanzo 3 vya ualimu wake, navyo ni 1. Biblia takatifu (holy scriptures) 2. Mapokeo hai (holy traditions) 3. Mamlaka funzi (magisterium). Mambo haya matatu yanatumika kwa pamoja kufafanua na kufundisha jambo moja pasipo kupingana, hivyo kila andiko ktk biblia linafundishwa kadiri ya mapokeo ya kale ya kanisa na mamlaka fundishi za kanisa linavyolipokea kupitia mababa watakatifu, makardinali na maaskofu wanavyoangaziwa na Roho wa Mungu. Kwa mfano, jambo la vitabu vya biblia takatifu, wakatoliki wanatumia biblia ya vitabu 72 tofauti na madhehebu mengine yanayotumia biblia ya vitabu 66, walioamua kupunguza vitabu 6 walikua na sababu zao na kanisa haliendeshwi kwa kusikiliza wapinzani wake wanasema nini, linamsikiliza Mungu, hivyo likaendelea na mambo yake, kwa upungufu huo wa vitabu kadhaa ktk biblia yenu, kuna taarifa nyingi mnazokosa na hivyo hatuwezi kuelewa kanisa linalofundisha kwa biblia yenye taarifa nyingi zaidi ya mlizokuwa nazo. Uhalali wa kanisa kutumia mapokeo yake upo hata ktk biblia mliyokua nayo ninyi, itoshe kusema kati ya mwaka 295BK biblia ilipoanza kutumia ktk kanisa wakati huo likiwa kanisa moja tu katoliki la mitume, Mwenyezi Mungu amefunua na kufundisha mambo mengi kwa njia zake ktk kanisa ambayo hayakuwa yameandikwa, kuna nyakati watakatifu walioko mbinguni wametokea ktk kanisa na kuleta jumbe za Mwenyezi Mungu akitaka jumbe hizo zitambulike kama "kweli za kiimani" na zishikwe na wafuasi wa "Mwanae mpenzi" pia kanisa ktk ukulu wa kiti cha Petro mtume, linapotimiza wajibu wake wa kufundisha Imani, maadili na ibada, linaelekeza historia ya wanadamu kadiri ya nyakati walizopo, mafundisho ya kanisa kipindi cha zama za utumwa na ukoloni ni tofauti na sasa kwenye zama za ubeberu, sayansi na teknolojia, haya yote ni kazi ya Roho mtakatifu, tajiri wa nyakati zote, kila siku anao ujumbe mpya kwa ajili yako ya leo na kesho pia atakua na lingine kwa ajili yako kama utamsikiliza na kumpa muda akufundishe, anafanya hivyo kwa kanisa, taifa na jamii inayompa nafasi alifundishe. Je, unampa Roho mtakatifu nafasi ktk maisha yako? Je, familia yako? Jamii? Kanisa lako? Kama kweli, basi lazima utakua unashuhudia surprise nyingi kutoka kwake, akikuelekeza jinsi ya kumjua, kumpenda na kumtumikia Mwenyezi Mungu ili mwisho mwishoni uweze kufika kwake mbinguni.hili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.
hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?
Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.
Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.
Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.
Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.
Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
Sasa me nakushauri jambo la maana unakataa kama zuzu,mwiteni Askofu Gwajima amfufue hamtaki,Sasa hata mkikomaa kumuombea ndo Nini,atarudi huyo kwani?Mbona una hasira sana na kwa Taarifa Yako ataombewa katika Parokia zote Tanzania Hadi Zanzibar
Hata aombewe wapi!! Kama hamta sema nanibali mpiga Lissu risasi na kuwapoteza kina Ben, basi hatakaa aione pepo. Atakuwa kuni maisha yake yote huko aheraHawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.
View attachment 2939575
Itakuwa jamaa wanajua ndio maana wamegauza kanisa kuwa taasisi ya kufanyia laundering criminals (kutakatisha wahalifu)Hata aombewe wapi!! Kama hamta sema nanibali mpiga Lissu risasi na kuwapoteza kina Ben, basi hatakaa aione pepo. Atakuwa kuni maisha yake yote huko ahera
ulitakiwa kuandika kwa kuweka aya, huo ndio uandishi wa wasomi. najua wewe ni msomi, na ninakuheshimu kwa hilo.Hivi ni kwa mujibu wa dhehebu lako mnavyoyafahamu na kuyafafanua maandiko matakatifu, Roho wa Mungu tunayeamini ndiye mwalimu mwenye kuongoza na "msemesha ndimi" za kanisa, anao utajiri makubwa wa karama, anampa huyu utambuzi na kumfumbia mwingine, yote ni kwa sifa na utukufu wa Mungu, kabla ya madhehebu yenu, kanisa katoliki lipo likifafanua maandiko kwa maongozi ya Roho wa Milele, kwa mamlaka yake kanisa linatumia vyanzo 3 vya ualimu wake, navyo ni 1. Biblia takatifu (holy scriptures) 2. Mapokeo hai (holy traditions) 3. Mamlaka funzi (magisterium). Mambo haya matatu yanatumika kwa pamoja kufafanua na kufundisha jambo moja pasipo kupingana, hivyo kila andiko ktk biblia linafundishwa kadiri ya mapokeo ya kale ya kanisa na mamlaka fundishi za kanisa linavyolipokea kupitia mababa watakatifu, makardinali na maaskofu wanavyoangaziwa na Roho wa Mungu. Kwa mfano, jambo la vitabu vya biblia takatifu, wakatoliki wanatumia biblia ya vitabu 72 tofauti na madhehebu mengine yanayotumia biblia ya vitabu 66, walioamua kupunguza vitabu 6 walikua na sababu zao na kanisa haliendeshwi kwa kusikiliza wapinzani wake wanasema nini, linamsikiliza Mungu, hivyo likaendelea na mambo yake, kwa upungufu huo wa vitabu kadhaa ktk biblia yenu, kuna taarifa nyingi mnazokosa na hivyo hatuwezi kuelewa kanisa linalofundisha kwa biblia yenye taarifa nyingi zaidi ya mlizokuwa nazo. Uhalali wa kanisa kutumia mapokeo yake upo hata ktk biblia mliyokua nayo ninyi, itoshe kusema kati ya mwaka 295BK biblia ilipoanza kutumia ktk kanisa wakati huo likiwa kanisa moja tu katoliki la mitume, Mwenyezi Mungu amefunua na kufundisha mambo mengi kwa njia zake ktk kanisa ambayo hayakuwa yameandikwa, kuna nyakati watakatifu walioko mbinguni wametokea ktk kanisa na kuleta jumbe za Mwenyezi Mungu akitaka jumbe hizo zitambulike kama "kweli za kiimani" na zishikwe na wafuasi wa "Mwanae mpenzi" pia kanisa ktk ukulu wa kiti cha Petro mtume, linapotimiza wajibu wake wa kufundisha Imani, maadili na ibada, linaelekeza historia ya wanadamu kadiri ya nyakati walizopo, mafundisho ya kanisa kipindi cha zama za utumwa na ukoloni ni tofauti na sasa kwenye zama za ubeberu, sayansi na teknolojia, haya yote ni kazi ya Roho mtakatifu, tajiri wa nyakati zote, kila siku anao ujumbe mpya kwa ajili yako ya leo na kesho pia atakua na lingine kwa ajili yako kama utamsikiliza na kumpa muda akufundishe, anafanya hivyo kwa kanisa, taifa na jamii inayompa nafasi alifundishe. Je, unampa Roho mtakatifu nafasi ktk maisha yako? Je, familia yako? Jamii? Kanisa lako? Kama kweli, basi lazima utakua unashuhudia surprise nyingi kutoka kwake, akikuelekeza jinsi ya kumjua, kumpenda na kumtumikia Mwenyezi Mungu ili mwisho mwishoni uweze kufika kwake mbinguni.
Nimefurahi kupata fursa hii kuandika kitu kuhusu Imani kuu hata hivyo yako mengi, karibu kanisa lenye misingi ya mitume, iliyotabiriwa kuwa misingi ya ulimwengu huu itapambana nayo lakini haitalishinda, mfano swali la kuombea marehemu, kwetu hata mtoto wangu wa miaka saba anayefuata mafundisho ya komunyo yakwanza analifahamu na kulieleza kinaga ubaga, wakati huko kwenu hata mchungaji mwenye PhD ya teolojia hajui chochote, hivyo ndivyo anavyoshangaza Roho mtakatifu ktk maweza yake.
Barikiwa.
ila lina hoja ambazo huwa uwezo kuzijibu, cha muhimu nimenawa mikono kwako.Hili gazeti lako halina point
pambania roho yako, siwezi kusema wote wapo, ila walau wote waliowahi kuokoka walipata nafasi ya kumjua Mungu, wengine wamemuacha wakiwa humohumo, na wengine wameendelea na Mungu hadi mwisho. haya madhehebu unayoyaona, ni taratibu za wanadamu tu, kinachomata ni kama dhehebu hilo lina misingi ya Kibiblia inayoweza kumwongoza mtu amtafute Mungu na kumwona? hapo ndipo pa muhimu sana kuelewa.Kwa hiyo "Walokole" wote tayari wapo mbinguni?
Haya ni maajabu!
kwahiyo vingine kama hivyo vya kuomba kwa bikira maria badala ya JIna la Yesu, na hiyo kuombea wafu wasamehewe dhambi, hata ikitoka kwa shetani fresh tu, kwasababu Biblia haikuandika kila kitu?Biblia haijaandika kila kitu. Usikremu.
ndugu, hakuna dhehebu la matendo ya mitume,nilivyoandika hivi nilidhani pengine ungekuwa uliwahi kusoma icho kitabu cha matendo.naona wewe bado. kwa kifupi, baada ya Yesu kupaa, kanisa ndio lilianza siku ile ya pentecost baada ya Roho kushuka wakiwa gorofani, watu 120, ndani yake walikuwepo mitume 12 na wanafunzi wengine wa Yesu. hao ndio walianzisha kanisa, na hilo ndilo kanisa la mitume la kwanza. walihubiri wakafika hadi ANTIOKIA kule Uturuki watu wakawaita "hao ni wakristo" yaani watu wa Kristo, wanaoamin Yesu Kristo, na neno MKristo ndio likaanzia hapo. sasa mitume wale wa Yesu yale yaliyotendeka yameandikwa kitabu cha matendo yaliyo mengi, ndio maana nilirefer icho kitabu. na harakati zao zote za imani, hazifanani kabisa na kanisa lako katoliki. sina chuki na kanisa ila najaribu kuwafumbua macho, kwasababu hata nikiwa na chuki,nitawafanya nini? nanawa tu mikono, wale waliookoka wameshaona utofauti na wamemwona Mungu, wewe ni hiari yako kuendelea kuabudu dhehebu na mapokeo ya wanadamu badala ya kuokoka na kumwabudu Mungu.Umeandika haya ndefu lakini hoja zako ni chuki juu ya kanisa katoliki labda uje tena utuambie kanisa lipi ni la kweli mahana hadi sasa kuna madheebu mengi ebu tuambie dheebu lipi ni la kweli
Kwani hapa duniani hakuna dheebu la matendo ya mitume, inawezekana unatuamia nguvu nyingi na chuki juu ya kanisa katoliki na kumbe nyie ndio mnaoamini kwenye maji ya upako na kula keki ,
Dini zote zimejengwa kwenye misingi ya Imani ikitoa imani na ukasema uanze kufikiria Kwa utashi wa kibinadamu sizani kama utatamani hata kwenda kusali uko unadhani ni kua ndio pakweli
ungeliokoka usingenitukana hivyo kwa kutetea tu dhehebu linaloongozwa na mtu anayesapoti ushoga pale vatican. ndio maana tunasema muokoke. dhehebu haliokoi mtu, ila wokovu katika Yesu Kristo ambao mnaukataa.Mamamaee unateseka ukiwa wapi goroko wewe
sasa, kama Biblia haielekezi watu waombee wafu, wawatubie dhambi wafu, au waombe kwa maria bali wanatakiwa kuomba kwa kupitia JIna la Yesu tu, na kanisa lako linafanya hayo kinyume na Biblia, na liko mbioni kuhalalisha ushoga, unataka tuseme ni kanisa la Kristo au la mpinga kristo? be fair.Walokole wajuaji sana, wakatoliki kufanya mambo yao unawaita wapinga Kristo..
Wewe haya mamlaka ya kuhukumu wengine ulipewa na biblia ipi? tuwekee hilo andiko hapa.
Muachage ujinga.
Yesu alitaka muokoke, ama la mtaenda motoni. wewe unasema nisilazimishe? ni kweli silazimishi, ni hiari yako, ila kuambiwa utaambiwa tu upende usipende.We nae na huo ulokole wako!! Usilazimishe watu kuokoka Kila mtu aamini anachoamini