Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

mbona mnasema kunena kwa lugha ambako ndio kujazwa Roho haitakiwi? mbona hata karismatic wanaojaribu kupambania wokovu mnawafukuza
Inaonekana wewe umewahi kunena kwa lugha baada ya kumpokea Roho mtakatifu.

Naomba unijulishe, ulinena katika lugha ipi! Kigiriki, kiebrania, kireno, kisukuma...

Isijekuwa huu utapeli tunaousikia mkiropoka kama walevi maneno yasiyoeleweka.
 
Rubbish..

Wivu dhidi ya marehemu anayeombewa kwa Mungu apate makazi mema . Wivu huu ni Maradhi makubwea
 
Askofu renatus nkwande acha ukabila..

Je, pia utaandaa misa ya kumuombea hayati askofu mayalla na mzee mkapa kama msukuma mwezako?
Hii misa angeandaa askofu niwemugizi wa rulenge ngara ingeeleweka kwasababu ni jimbo husika.
Cc Mama Amon
 
Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Hitima inafanyika kwa ajili gani
 
Serikali na chawa wa Msoga ndio wanazidi kumfanya JPM azidi kuwa hai, vijembe na chuki dhidi ya JPM ndio vitazidi kumuweka hai na legacy yake kuongelewa.
Umeandika sahihi kabisa. Ile tu kundi letu lilivyoshika nchi tukaanza kumkebehi, kumkejeli, kumpinga waziwazi, tukaondoa wale waliokuwa karibu nae na tukaanza kuipotezea miradi aliyoanzisha. Yule jamaa aliwekeza kwa wananchi, alifanya vitu vilionekana, alianza kuleta uwajibikaji, uzalendo, ufuatiliaji wa kazi.
Kwa kweli tulimuongezea umaarufu ambapo anakumbukwa zaidi kuliko nyerere. Ili uchaguzi ujao mambo yawe shwari, karata ya JPM ni muhimu sana.
 
Acha kuneng'eneka mkuu. Kwani tatizo lako ni nini haswa! Kama kuna dhulma ya uhai against late tambua hakuna atakayebaki salama
Duh, kama kuna kitu unataka kusema ukaamua kunyamaza. Nakuunga mkono, watoto wako bado wadogo! Ila kama mtu alivyotenda atalipwa hivyo hivyo
 
Kama mwenzetu huombei hata wazazi wako au ndugu zako walio hai na waliokufa basi una hasara kubwa.
 
JK kusalimu amri JPM apitishwe haikua hiari yake, aliitwa na wazee akalazimishwa.
 
Sababu magufuli alikua anaongea kutoka moyoni kabisa tofauti na mizoga mingine ...alipo sema anachukia umasikini wa watanzani alimaanisha haswa ...na alipo sema anachukia wenye nguvu kuonea wanyonge alimaanisha haswa
Shida awamu hii alianza kufanyia kazi ripoti ya wizi na unyang'anyi wa mali za ccm. Kumbe chama kilikuwa na hela nyingi ambapo haikuhitajika kutembeza bakuli kwa wafanyabiashara ili kupata pesa za kampeni. Alishaanza kurudisha, mfano ch10. Baadhi ya wenzake hawakupenda hayo
 
Kwa binadamu, lazima dini uzisome uzifahamu vizuri ili ujiridhishe kama unafuata dini sahihi
 
Kiongozi muadilifu anatakiwa kupigania haki za watu wote bila ya kujali ni ya Mnyonge au Tajiri ?

Wanyonge wakivamia mali halali ya Tajiri unatakiwa kuwa Jasiri kuwafurusha na kumtetea Tajiri bila ya kujali athari za kisiasa kwa kupoteza umaarufu
Kwenye uendeshaji wa nchi, kati ya serikali, wananchi, wafanyabiashara, kwa nchi hii, unajidangaya kwamba mnyonge hapo si huyo mwananchi?
 
"Ulevi" wako usifanye na mimi niushiriki.
Huyu mungu mnayemmiliki nyinyi ni wenu, siyo wa kila mtu.
 
Mbona hata kipindi hiki cha samia wanatoka wengi kuliko hata kipindi cha maguuu.
Usikalili
 
Bata wahed!
 
Kama mwenzetu huombei hata wazazi wako au ndugu zako walio hai na waliokufa basi una hasara kubwa.
ni kwasababu Biblia haielekezi tuombee waliokufa, hakuna connection yeyote kati ya waliokufa na walio hai, kwa kifupi, kuombea wafu (wazazi wako) ni kupoteza muda na ni ibada ya sanamu. hicho ndicho kipengele dhehebu lenu liliingiliwa na icho kipengele ambacho hata kanisa la kwanza halijawahi kuwa nacho, huwezi kuombea maiti, wala marehemu, wala maombi asamehewe, hakuna kipengele chochote kwenye Biblia na mitume hawajawahi kufanya hivyo, hata Yesu hajawahi kufanya wala kuelekeza hilo, ni kitu mmetunga tu.
 

Mtoa post upinde
 
Unaposema liko mbioni kuhalalisha ushoga hayo maono umeyaokota wapi?

Halafu nilikwambia unipe andiko linalozidi kukupa huu ujuaji wa kuhukumu wengine naona bado upo kimya, sijui unasubiri kitu gani?!

Nyie viumbe huwa mnajiona watakatifu mnaoishi hapa ulimwenguni, sijui kwanini hampai muende mbinguni kama Eliya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…