Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

mbona mnasema kunena kwa lugha ambako ndio kujazwa Roho haitakiwi? mbona hata karismatic wanaojaribu kupambania wokovu mnawafukuza
Inaonekana wewe umewahi kunena kwa lugha baada ya kumpokea Roho mtakatifu.

Naomba unijulishe, ulinena katika lugha ipi! Kigiriki, kiebrania, kireno, kisukuma...

Isijekuwa huu utapeli tunaousikia mkiropoka kama walevi maneno yasiyoeleweka.
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.

View attachment 2939575
Rubbish..

Wivu dhidi ya marehemu anayeombewa kwa Mungu apate makazi mema . Wivu huu ni Maradhi makubwea
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.

View attachment 2939575
Askofu renatus nkwande acha ukabila..

Je, pia utaandaa misa ya kumuombea hayati askofu mayalla na mzee mkapa kama msukuma mwezako?
Hii misa angeandaa askofu niwemugizi wa rulenge ngara ingeeleweka kwasababu ni jimbo husika.
Cc Mama Amon
 
Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Hitima inafanyika kwa ajili gani
 
Serikali na chawa wa Msoga ndio wanazidi kumfanya JPM azidi kuwa hai, vijembe na chuki dhidi ya JPM ndio vitazidi kumuweka hai na legacy yake kuongelewa.
Umeandika sahihi kabisa. Ile tu kundi letu lilivyoshika nchi tukaanza kumkebehi, kumkejeli, kumpinga waziwazi, tukaondoa wale waliokuwa karibu nae na tukaanza kuipotezea miradi aliyoanzisha. Yule jamaa aliwekeza kwa wananchi, alifanya vitu vilionekana, alianza kuleta uwajibikaji, uzalendo, ufuatiliaji wa kazi.
Kwa kweli tulimuongezea umaarufu ambapo anakumbukwa zaidi kuliko nyerere. Ili uchaguzi ujao mambo yawe shwari, karata ya JPM ni muhimu sana.
 
Acha kuneng'eneka mkuu. Kwani tatizo lako ni nini haswa! Kama kuna dhulma ya uhai against late tambua hakuna atakayebaki salama
Duh, kama kuna kitu unataka kusema ukaamua kunyamaza. Nakuunga mkono, watoto wako bado wadogo! Ila kama mtu alivyotenda atalipwa hivyo hivyo
 
hili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.

hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?

Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.

Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.

Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.

Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.

Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
Kama mwenzetu huombei hata wazazi wako au ndugu zako walio hai na waliokufa basi una hasara kubwa.
 
Msoga inalaumiwa kwa kutimua vumbi hadi kwny matope


Wapo waliomlaumu Mkwere kwa JPM kuwa Rais

Hao hao tena wakaja kulaumu kuwa JK hataki JPM awe Rais

Wapo waliomlaumu tena Mkwere kwa kumpendelea Lowassa na kundi lake na Makala wakaandika kuwa anapendelea Kundi lake la Mtandao

alipowasikiliza akalipiga chini kundi lake wakaja tena kulaumu hana shukran kasaliti Rafiki zake

Wapo waliomlaumu JK kwa kulazimisha Mchakato wa Katiba aumalize wakati wake ili apate sifa peke yake

akasikiliza akaachia pale pale ili wengine waje wakitaka kumalizia au kuanza upya watajua wenyewe

miaka 9 baadae wale wale walioshauri asitishe mchakato ndio wanalaumu kwanini hakumalizia

Msiban Kule Masaki akichelewa kwa siku 2 tu kutokea Msiban maneno wakaanza hata Msiban anaona aibu kuja, alipoenda eti kufuata nini ?

Huyu Jamaa asingepewa roho ya kupuuza angekuwa kimbaumbau kwa gubu la mitandaoni kuliko Mstaafu yule Mzee wa Kijiti na Sigara kali pale Mikocheni
JK kusalimu amri JPM apitishwe haikua hiari yake, aliitwa na wazee akalazimishwa.
 
Sababu magufuli alikua anaongea kutoka moyoni kabisa tofauti na mizoga mingine ...alipo sema anachukia umasikini wa watanzani alimaanisha haswa ...na alipo sema anachukia wenye nguvu kuonea wanyonge alimaanisha haswa
Shida awamu hii alianza kufanyia kazi ripoti ya wizi na unyang'anyi wa mali za ccm. Kumbe chama kilikuwa na hela nyingi ambapo haikuhitajika kutembeza bakuli kwa wafanyabiashara ili kupata pesa za kampeni. Alishaanza kurudisha, mfano ch10. Baadhi ya wenzake hawakupenda hayo
 
Mkuu udini ni mbaya sana ndugu kamwe hawezi kukupeleka mahali salama.

Lipi kosa hapo walilofanya?..Kumuombea mfu napo ni kosa ama ina ukomo wa maombi kwamba maombi ni mara moja tu na sehemu fulani tu?

Hizi dini tulizaliwa tukazikuta ndugu yangu tusipende kujifanya kuwa tunazifahamu sana zaidi ya waasisi.

Kila mtu aheshimu imani yake bila kumkwaza mwingine na tuwe na kiasi pia huku tukikumbuka kuwa tutakufa tukiziacha na kuwaachia wengine. Kamwe dunia haiwezi kuwa imani moja.
Kwa binadamu, lazima dini uzisome uzifahamu vizuri ili ujiridhishe kama unafuata dini sahihi
 
Kiongozi muadilifu anatakiwa kupigania haki za watu wote bila ya kujali ni ya Mnyonge au Tajiri ?

Wanyonge wakivamia mali halali ya Tajiri unatakiwa kuwa Jasiri kuwafurusha na kumtetea Tajiri bila ya kujali athari za kisiasa kwa kupoteza umaarufu
Kwenye uendeshaji wa nchi, kati ya serikali, wananchi, wafanyabiashara, kwa nchi hii, unajidangaya kwamba mnyonge hapo si huyo mwananchi?
 
pambania roho yako, siwezi kusema wote wapo, ila walau wote waliowahi kuokoka walipata nafasi ya kumjua Mungu, wengine wamemuacha wakiwa humohumo, na wengine wameendelea na Mungu hadi mwisho. haya madhehebu unayoyaona, ni taratibu za wanadamu tu, kinachomata ni kama dhehebu hilo lina misingi ya Kibiblia inayoweza kumwongoza mtu amtafute Mungu na kumwona? hapo ndipo pa muhimu sana kuelewa.

sasa kwa mfano, Yesu Kristo alisema, nitawatumia msaidizi,Roho Mtakatifu kwasababu peke yenu hamuwezi lolote. kwenye Mathayo 28 alisema na ishara hizi zitaambatana na wale waaminio, kwa JIna langu watatoa pepo, watasema kwa lugha mpya (lugha ya Roho yaani kunena kwa lugha), sasa ukiona kuna kanisa halina misingi ya kumpata Roho mtakatifu na wanapinga udhihirisho wa kunena ambao hata Yesu aliusema, jua hilo kanisa haliwezi kumfundisha mtu akapata Roho kwasababu wanampinga Roho. hivyo halitamsaidia hata akisali hapo.

na lile linalofundisha na kuhamasisha Roho (mfano tu), hao watasaidia watu kulingana na misingi yao, wampate Roho, na ukiwa na Roho wa Mungu wewe ndio mwana wa Mungu. imeandikwa walakini awaye yote asipokuwa na huyo Roho, huyo sio wake. hivyo ninyi nyote msio kuwa na Roho, sio watu wa Mungu.

misingi ya dhehebu ni muhimu sana, kwasababu ndio misingi inayoweza kumsadia mtu kwneye harakati za kutafuta uso wa Mungu.

kitu kingine, Yesu alisema ombeni kwa Jina langu, dhehebu lignine linaomba kwa maria na wafu, unategemea nini hapo?

Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu (hakuna msamaha ukiwa umekufa) dhehebu la katoliki linaombea maiti asamehewe, kitu ambacho hata kwenye Biblia hakipo, unategemea nini? na Ufunuo anasema heri wafu wafao katika BWana maana matendo yao yaambatana nao, yaani ukifa, umeondoka na matendo yako utaenda kuhukumiwa nayo. naamini kama Mungu angeamua kwamba mapadre wawaombee maiti wasamehewe dhambi (badala ya mtu mwenyewe kutubu kabla ya kufa) basi, makanisa yangejaa majeneza na mochwari zingejengwa makanisani ili maiti ziombewe zisiende motoni.kitu cha ajabu kabisa hiki. shitukeni, mbona jambo hili lipo wazi sana? hata mtu wa kawaida mbona inaonyesha kabisa mmepotea? kweli muombee maiti isamehewe kweli? kwahiyo mtu asitubu ili akifa ninyi mmtubie kwa Mungu, mbona ajabu hii?
"Ulevi" wako usifanye na mimi niushiriki.
Huyu mungu mnayemmiliki nyinyi ni wenu, siyo wa kila mtu.
 
Waache aombewe mpaka waombaji watakaporidhika, JPM sikumkubali kwa baadhi ya mambo lkn suala la bwawa la umeme nampongeza sana. Maana kuanzia Wana CCM wenzake.

Vyama vya upinzani na nchi nyingi zilimpiga lkn mwamba akakomaa. Nampa maua yake aisee, lkn jambo Moja kubwa ambalo sikulipenda niile lakupoteza watu.

Namuombea Mwenyezimungu amsamehe makosa yake.
Mbona hata kipindi hiki cha samia wanatoka wengi kuliko hata kipindi cha maguuu.
Usikalili
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.

View attachment 2939575
Bata wahed!
 
Kama mwenzetu huombei hata wazazi wako au ndugu zako walio hai na waliokufa basi una hasara kubwa.
ni kwasababu Biblia haielekezi tuombee waliokufa, hakuna connection yeyote kati ya waliokufa na walio hai, kwa kifupi, kuombea wafu (wazazi wako) ni kupoteza muda na ni ibada ya sanamu. hicho ndicho kipengele dhehebu lenu liliingiliwa na icho kipengele ambacho hata kanisa la kwanza halijawahi kuwa nacho, huwezi kuombea maiti, wala marehemu, wala maombi asamehewe, hakuna kipengele chochote kwenye Biblia na mitume hawajawahi kufanya hivyo, hata Yesu hajawahi kufanya wala kuelekeza hilo, ni kitu mmetunga tu.
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.

View attachment 2939575

Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.

View attachment 2939575
Mtoa post upinde
 
sasa, kama Biblia haielekezi watu waombee wafu, wawatubie dhambi wafu, au waombe kwa maria bali wanatakiwa kuomba kwa kupitia JIna la Yesu tu, na kanisa lako linafanya hayo kinyume na Biblia, na liko mbioni kuhalalisha ushoga, unataka tuseme ni kanisa la Kristo au la mpinga kristo? be fair.
Unaposema liko mbioni kuhalalisha ushoga hayo maono umeyaokota wapi?

Halafu nilikwambia unipe andiko linalozidi kukupa huu ujuaji wa kuhukumu wengine naona bado upo kimya, sijui unasubiri kitu gani?!

Nyie viumbe huwa mnajiona watakatifu mnaoishi hapa ulimwenguni, sijui kwanini hampai muende mbinguni kama Eliya.
 
Back
Top Bottom