- Thread starter
- #101
Anapigana na Ukraine tu.Hata waishinde Russia bado wengine tunahesabu Russia ndo mshindi, ameichakaza ardhi ya Ukraine pasi wenyewe kuingingia ndani ya Russia, sasa hivi Russia anapigana na mataifa yale yenye nguvu na anawatoa kamasi, na ilipaswa Dunia mzima imtetee maana anaonewa, na wasipoangalia, Russia inarejesha heshima na kuitawala Dunia tena