Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

Kila siku majira ya baridi baridi, mbona mwaka unaisha watu wamevumiria baridi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mjomba mziki wa baridi nchi nyingi ni October to February; hiyo vita ilianza baridi inaisha.

Sasa hivi mziki wa baridi unakuja ndio unaona EU wanakuja na hadithi za kupunguza 15% ya matumizi kila mtu kwa sasa ili kuwa na reserve ya kutosha winter just in case Russia akikata zaidi gas in the winter.

Ni hivi hapo gas hakuna short cut.
 
Super Power wa kuchonga kutimuliwa mji wa Kherson muda wowote baada daraja muhimu kulipuliwa na Himars
Ukraine's campaign to retake the occupied Kherson region is "gathering pace", Western military sources say.

A key bridge into the city of Kherson is now out of action after Ukrainian forces struck it with long-range rockets supplied by the US.

UK defence officials say the city is now "virtually cut off from other occupied territories"
Yaani kupig daraja..tayari kashinda vita....Idd Amin alivunja daraja la Kagera..still cha moto alikiona..yaani kweli karne hii uvunje kadaraja kamoja then upige kelele umeshinda vita wakati watu wanamakombora yanayoweza kupiga sehemu yoyote duniani??
 
Ndege isiyo na rubani hutoshea ndani ya mkoba na inaweza kuning'inia hewani kwa saa sita. Ina mwongozo wa ‘infrared’, kumaanisha kuwa inaweza kufanya kazi usiku na kuharibu shabaha za silaha za wastani.
T14 Armata pitia hii mitaa
 
Super power la kibisa kaja na kwa M7 kuomba vifaru pia[emoji16]
Sasa ndio naona kumbe wewe ni mtu mwenye upungufu wa akili Kwa kiwango kikubwa sana Kwa comment yako hii ....I rest my case. Katibiwe we jamaaa.
 
Mjomba mziki wa baridi nchi nyingi ni October to February; hiyo vita ilianza baridi inaisha.

Sasa hivi mziki wa baridi unakuja ndio unaona EU wanakuja na hadithi za kupunguza 15% ya matumizi kila mtu kwa sasa ili kuwa na reserve ya kutosha winter just in case Russia akikata zaidi gas in the winter.

Ni hivi hapo gas hakuna short cut.
unaowazungumzia sio waafrika , sorry km ntakuwa sijaelewa mada hahaaa
 
Warusi wa JF msikasirike kwa matusi, tusubiri muda upo mshindi atajulikana.
Hata waishinde Russia bado wengine tunahesabu Russia ndo mshindi, ameichakaza ardhi ya Ukraine pasi wenyewe kuingingia ndani ya Russia, sasa hivi Russia anapigana na mataifa yale yenye nguvu na anawatoa kamasi, na ilipaswa Dunia mzima imtetee maana anaonewa, na wasipoangalia, Russia inarejesha heshima na kuitawala Dunia tena
 
Back
Top Bottom