Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

Magufuli alikuwa mtu hovyo na mbaya kupindukia, alitaka kuua biashara ya utalii Arusha eti apromote utalii Chato! Tunashukuru Arusha inarudia utukufu wake wa asili na tunashuhudia Chato ikurudia uasili wake pia! Mungu fundi!
Bora kupromote utalii chato kwa kuhamisha wanyama kutoka Serengeti Tanzania kwenda Burigi Chato Tanzania kuliko kupromote utalii Uarabuni kwa kuchukua wanyama Loliondo Tanzania kwenda UAE-Uarabuni. Ifike wakati mtofautishe kati ya UHUNI na UZALENDO.
 
Sasa haya yote nani atasoma?
 
Huu ni utawala wa mashetani lazima hotel kama hizo zirudi
Na ukizingatia Bwana Yule alisema Matajiri waishi kama Mashetani ...

Na wafuasi wake wakiona Hotel zinafufuliwa na watu wapate ajira hawapendi ....

Yaani wafuasi wa bwana yule wanataka kuona maisha ya kishetani yakitamalaki ndani ya nchi ...kwa neno LA kilaghai eti napambana na mafisadi huku kijijini kwake akifanya kufuru ya matumizi mabaya ya fedha
 
Huyo ni CCM mwenzako. Shida kila mtu unamwona ni CHADEMA. Punguza papara
Wacha we!

Kwahiyo yeye akisema ni wa CCM ndio ina maana kasema Ukweli?


Huyu Chiembe nilisha msomaga zamani na Nyuzi zake. Yeye ni Character Assasinator

Uzi zake kwa kawaida zinahusisha kumwaga au kutia chumvi kwa makusudi kabisa, kama alivyofanya hapo juu. Yaani ananpotosha ukweli. Taarifa zake ni potofu ilimradi J.P.M na sera zake zionekane hazikuleta tija, kifupi huwa ana kosoaga na viuzi visivyo na msingi wowote ule na mara nyingi taarifa zake hazina kianzio na hayuko peke yake katika upotoshaji huu.

Huwa anataka kuaminisha umma kuwa ana msapoti JPM lakini ndani yake ana hila.

Kintelijensia, anawezekana ni pandikizi la CHADEMA au ni wakala au kibaraka wa Wazungu ambao wanaogopa sera za Uzalendo kwani inawanyima fursa za kuliibia taifa.

Mrudisheni Ufipa huyu.
 
Bora umemjibu. Kila Jambo lawama kwa CHADEMA.
CHADEMA ni mawakala wa Mababeru wasiotutakia mema nchi hii. Ndio maana waliwasusia kina Mwabukusi na Sauti ya Wananchi na vijisababu lukuki visivyo na mashiko.

CHADEMA ndio waliozima vuguvugu la wananchi kutaka mapinduzi. Ati 255! Wamefika huko mikoani wakaanza kukimbizana na Kaburi la J.P.M Rest in power, halafu wakaja kuzima maandamano, na hivyo kuzika mjadala wa Bandari kwa kushirikiana na Mafisadi.
 
Kwann wewe usiandamane mpaka chadema kwan na wewe si mtanzania tena mzalendo? Bandari muuze nyie wandamane chadema?
Akili zinakutosha au ushalewa vya kupima?? Leo ndo unajua faida ya maandamano
 
Baada ya mmiliki kufariki. Hoteli ya Ngurdoto ilifungwa kutokana na kudaiwa deni kubwa la benki pamoja na malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi. Waliamua kuifanya hosteli ili kuanza kupata pesa waweze kulipa madeni kidogo kidogo. Fanya uchunguzi kwanza kabla kuleta nyuzi za uongo kwa sababu ya chuki dhidi ya JPM
 
Bora kupromote utalii chato kwa kuhamisha wanyama kutoka Serengeti Tanzania kwenda Burigi Chato Tanzania kuliko kupromote utalii Uarabuni kwa kuchukua wanyama Loliondo Tanzania kwenda UAE-Uarabuni. Ifike wakati mtofautishe kati ya UHUNI na UZALENDO.
Ila Magufuli ushenzi ulizidi kwa kweli. Ndio hao akina Makonda watoto wake wanataka kurudia ushenzi wao kwa mara nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…