chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema.
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.