Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema.
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
Kamanda wa chawaMimi ni kamanda, sio chawa
Akifute hata leo.Chama Cha Mbowe hicho, akiamua kikifuta anakifuta hata kesho
Chadema kuna uhuru wa kutoa maoni.Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema.
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
Subiri, hatoi tena hela
Punguza utoto dogo.Huu mwaka njaa itawamaliza, mkambembeleze Mbowe, vinginevyo mwafwa njaa