Hufananii.... labda kamanda chawaMimi ni kamanda, sio chawa
Nimesoma Title tu, hayo mashudu mengine sijasoma. Kwa kifupi, HUNA AKILI.Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
RubbishHotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
Nikajua umeweka na facts zinazodhihirisha wanastahili kufukuzwa kumbe ni poyoyo tu za chuki!! Mbona hawakufukuzwa wale walosema nenda na kimba lako nyumban, mara mpaka tuwape mimba wake zenu ndo mjue tunafanya kaz, mara mwingine akiitwa tumbili. Mbon hawakufukuzwa?Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
Punguza jazbaNikajua umeweka na facts zinazodhihirisha wanastahili kufukuzwa kumbe ni poyoyo tu za chuki!! Mbona hawakufukuzwa wale walosema nenda na kimba lako nyumban, mara mpaka tuwape mimba wake zenu ndo mjue tunafanya kaz, mara mwingine akiitwa tumbili. Mbon hawakufukuzwa?
Naafikiana na kauli hiiNimesoma Title tu, hayo mashudu mengine sijasoma. Kwa kifupi, HUNA AKILI.
Naunga mkono hoja, hata huyuHotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
Mkuu Emil Mwangwa, if tujifunze kitu kinachoitwa "speculative statement " na "definite statement"Ni ukweli ulio wazi Kwa waliozoea kusikiliza hotuba ya mwenyekiti MBOWE watakubaliana na mimi kuwa Jana alikuwa amelewa.Swali ni je,Kwa nini aliamua kunywa katika mkutano huu muhimu Kwa chama Chao? Ni jambo laweza kuonekana dogo lakini taswira yake ni kubwa mno.
Mleta mada ni vzr tukaweka akiba ya maneno hii nchi inachezewa sana na wanasiasa CCM wanatujua watanzania tulivyo na wanajua aina ya wanasiasa walewale wanaowafahamu na kwamba hawabadiliki na wanajua maeneo ya kuwachezesha wanasiasa wetu.Hii ni mapema sana kuweza kujua kilichomo kwenye mioyo yao,hivyo vikao walivyokaa na Rais hakuna ajuae undani wake.Muda ni rafiki mzuri sana tusubiri.Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema
Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na majitu ya hovyo katika chama ni kukipunguzia heshima (credibility) yake.
Kwahiyo The Late Magu alikua na Kitwanga siku ile😂😂😂Naunga mkono hoja, hata huyu
Mkuu Emil Mwangwa, if tujifunze kitu kinachoitwa "speculative statement " na "definite statement"
Speculative statement ni statement ya hisia without proof, na definite statement ni statement ya kitu ambacho you are shure of.
Kusema jana Mbowe alikuwa amelewa, it's a definite statement, kumaanisha ulikuwa nae ukamshuhudia akinywa hadi akalewa!.
Kitendo cha kumsikiliza anaongea kama amelewa, sio lazima awe kweli amelewa!, mtu anaweza kuonekana kama amelewa kumbe hajalewa ni uchovu tuu wa exhaustion hivyo anapata tatizo la fatigue na kuonekana kama kalewa!.
Kama haukuwa na Mbowe na hukumshuhudia akilewa, then you can't say for sure kuwa Mbowe amelewa!. Huku ni kuchafua watu bila ushahidi wowote!. Kumsikia anahutubia as if amelewa is not a proof kuwa alikuwa amelewa!.
Niliwahi kushauri humu https://www.jamiiforums.com/threads...hibitisho-ukituhumu-weka-uthibitisho.1933091/
P
Kuna content ya jazba hapo? Weka facts acha kurukaruka kama wajelajela kweny sufuria!!Punguza jazba
Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema.