Baada ya hotuba ya Mbowe Mwanza, ni wakati muafaka Chadema iwafukuze uanachama Lema, Martin Maranja Masese, mdude na Heche

Ni kweli kabisa, ukomavu wa kisiasa siku hizi ni kumsifia rais. Hivyo wale wote wasiokubaliana na huo uzwazwa ni wahuni.
 
Ni kweli kabisa, ukomavu wa kisiasa siku hizi ni kumsifia rais. Hivyo wale wote wasiokubaliana na huo uzwazwa ni wahuni.
Chama Cha Mbowe hicho, akiamua kikifuta anakifuta hata kesho
 
Chadema kuna uhuru wa kutoa maoni.
 
Mkuu, hao uliowataja wapo sawa kwa mitazamo yao na hiyo mitazamo ndiyo inayojenga chama cha siasa.

Hata pale Lumumba sio kwamba wote wanaongea lugha moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…