KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kwishnahi babuj!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUB ni kituo kikubwa cha biashara cha ngazi ya dunia nzima. Dubai alipounda shirika la ndege akahakikisha asilimia tisini ya ndege zake zinapita pale kwenye jiji lake kwa maana ya safari ya transit. Utatoka nchi za mashariki ya mbali utatua pale Dubai na kisha utaendelea na safari kuja Dar. Utatoka London na kukatiza Dubai kisha utaendelea mpaka afrika ya kusini.Tupe maana yake mkuu sisi maleimani.
sina maoni, I'm waiting to see which is witch to switch the sweet in lightWanabodi,
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!
Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu.
Mkuu utukufu mwanjisi , kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.
Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.
The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.
Hizi HGA takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.
Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, hoja zenu zote zitakuwa zimezingatiwa kwenye HGA.
The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Pascal unataka uwazi kwenye HGA wakati wenzako ndiyo wanaenda kubadilisha Sheria ili hizo HGA zisije kabisa Bungeni? au unafikiri wanaenda kubadilisha sheria kwasababu zipi hasa?Wanabodi,
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!
Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu.
Mkuu utukufu mwanjisi , kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.
Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.
The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.
Hizi HGA takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.
Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, hoja zenu zote zitakuwa zimezingatiwa kwenye HGA.
The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Kwa sheria yetu ya sasa wala haikupaswa kuwa siri cos ingeingia Bunge kwenda kufanyiwa Review, changamoto kile kifungu kinachotaka mikataba inayoingiwa na Serikali inayohusu Rasimali za Taifa wanaenda kukiondoa ili wapate uhalali kuwa ni siri.Uzuri Pascal Mayalla wewe ni mwanasheria na unaelewa mikataba -HGA huwa ni siri ,Je hiyo transparency itapatikana kwa njia ipi?

We nae hii nchi ni yetu wote na ndiyo maana Katiba ya JMT 1977 ina mtaka kila Mtanzania Kulinda Rasimali za Taifa, Katiba haikutaja kuwa wanajeshi au Serikali ndiyo italinda Rasimali ila imemtaka kila mtanzania hivo ni wajibu wetu kulinda na kutetea Rasimali zetu kwa ghalama yoyote.Ni nchi yetu pekee ambayo masuala ya IGA na HGA yanaongelewa kama vile matokeo ya mechi za Simba na Yanga, hakuna sehemu nyingine duniani penye mijadala kwenye masuala nyeti na ya kiserikali kama haya.
Tumecheza na elimu kwa muda mrefu na huu uholela wa kujadili mikataba ambayo ni nyaraka za serikali kama vile ni karatasi tu, ni matokeo ya hiyo michezo ya hatari kwenye sekta nzima ya elimu.
Mikataba ipo mingi na inakuja mingi kila kukicha. Cha muhimu ni hao wenye dhamana ya kuihodhi huko serikalini kuwa watiifu na waaminifu kwa mamlaka zinazowaajiri. Kwa maana hata kuuvujisha mkataba ni matokeo pia ya kucheza na elimu kwa mapana yake.
Tufike mahali pa kuwa na mipaka ya masuala ya masikhara na yale yenye kuhitaji umakini.
Watanzania tulishaitwa ni wezi kwahiyo hakuna nafasi, hakuna mwekezaji anaweza kumwajiri mtu mwizi.Tunataka tujue wanachukua Bandari kwa muda gani na serikali yetu itapata kiasi gani.
Pia tunataka tujue wataajiri Watanzania wangapi?
HUB ni kituo kikubwa cha biashara cha ngazi ya dunia nzima. Dubai alipounda shirika la ndege akahakikisha asilimia tisini ya ndege zake zinapita pale kwenye jiji lake kwa maana ya safari ya transit. Utatoka nchi za mashariki ya mbali utatua pale Dubai na kisha utaendelea na safari kuja Dar. Utatoka London na kukatiza Dubai kisha utaendelea mpaka afrika ya kusini.Tupe maana yake mkuu sisi maleimani.
Hao wanaohangaika ili nchi ipate uwekezaji ni walinda katiba kama tulivyo mimi na wewe. Tusipende kuwakwaza hovyo kwa kigezo cha kulinda katiba, tunawakwaza kwa kigezo cha uhuru wetu. Sidhani kama ikulu ya JPM ingeletewa upuuzi kama huu wa waraka ingetulia tu, JPM angemkata mtu kichwa.We nae hii nchi ni yetu wote na ndiyo maana Katiba ya JMT 1977 ina mtaka kila Mtanzania Kulinda Rasimali za Taifa, Katiba haikutaja kuwa wanajeshi au Serikali ndiyo italinda Rasimali ila imemtaka kila mtanzania hivo ni wajibu wetu kulinda na kutetea Rasimali zetu kwa ghalama yoyote.
Mkuu Yohanne Mbatizaji, johnthebaptist , mimi sitembei warakani, japo ni Mkatoliki lakini siungi mkono waraka, kwasababu ni kuchanganya dini na siasa Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?Haya
Nimekusoma kwa umakini mkubwa unatembea mule mule Warakani 😀😀🔥
JPM katika utawala wake aikutana na Waraka 2 za Katoriki! nani ulisikia alikatwa kichwa? hivi unapomuona Hamza Johari anakuambia sio kweli kwamba tumewapa bandari zote ila tumewapa bandari ya Dar tu ila ukienda kwenye Mkataba unasomeka ni Bandari za Maziwa na Bahari we unaona sawa?HUB ni kituo kikubwa cha biashara cha ngazi ya dunia nzima. Dubai alipounda shirika la ndege akahakikisha asilimia tisini ya ndege zake zinapita pale kwenye jiji lake kwa maana ya safari ya transit. Utatoka nchi za mashariki ya mbali utatua pale Dubai na kisha utaendelea na safari kuja Dar. Utatoka London na kukatiza Dubai kisha utaendelea mpaka afrika ya kusini.
Alijua kule kuonwa mara nyingi kwa jiji lake ni hatua ya kwanza ya kulitangaza kimataifa. Maofisi makubwa yamejengwa pale, biashara za kila aina zimefunguliwa pale yakiwa ni matawi ya zile zilizopo katika miji mikubwa kama Paris, New York, Vancouver na mengine maarufu, hiyo ni maana ya HUB.
Hivi sasa Dubai ameingilia kwenye biashara ya madawa ya binadamu, anageuka kuwa Medicine Hub ya dunia nzima anampita umaarufu India kwenye sekta hiyo.
Samia ana mitazamo ya kisasa sana, anapokea ushauri kutoka kwa wataalam wajanja na wenye maono mapana na anao utayari wa kuyafanyia kazi. Dar inajengewa uwezo wa kuja kuwa HUB kubwa afrika na ikiwezekana duniani.
Hawa wawekezaji wawili wanaokwenda kuendesha bandari ni hatua za mwanzo tu za kujenga umaarufu kama ule wa Dubai, kwamba wepesi wa kutoa mizigo pale bandari unakwenda kuipa heshima mpya Tanzania na inaweza kuanza kuchangamkiwa na wafanyabiashara mbalimbali kutoka mataifa makubwa.
Maendeleo ni mbinu za kisasa, sio kuwa na akili mgando zenye ujamaa mwingi na zinazojaa hulka za kichoyo tu. Kusema sisi wenyewe tuendeshe ni kukosa maono mapana ya kidunia, unahitaji kuwa na chombo cha kibiashara cha bandari chenye kurahisisha biashara za ukanda huu, na watu wetu watajikuta wanaboresha maisha yao katika siku zijazo.
Hao wanaohangaika ili nchi ipate uwekezaji ni walinda katiba kama tulivyo mimi na wewe. Tusipende kuwakwaza hovyo kwa kigezo cha kulinda katiba, tunawakwaza kwa kigezo cha uhuru wetu. Sidhani kama ikulu ya JPM ingeletewa upuuzi kama huu wa waraka ingetulia tu, JPM angemkata mtu kichwa.
Kuna wawekezaji wawili wanakuja katika sekta ya bandari, unajua ndani ya mikataba yao nini kimeandikwa?.JPM katika utawala wake aikutana na Waraka 2 za Katoriki! nani ulisikia alikatwa kichwa? hivi unapomuona Hamza Johari anakuambia sio kweli kwamba tumewapa bandari zote ila tumewapa bandari ya Dar tu ila ukienda kwenye Mkataba unasomeka ni Bandari za Maziwa na Bahari we unaona sawa?
Utaratibu wa kisheria ufuatwe tu kama Tender itangazwe tuweke masharti yetu ataekidhi sawaKuna wawekezaji wawili wanakuja katika sekta ya bandari, unajua ndani ya mikataba yao nini kimeandikwa?.
Mkuu Nehemia Kilave , ni kweli contracts nyingi zina provisions za confidentiality lakini kunapotokea jambo la public interest, hiyo public interest ina overrule confidentiality na mkataba unawekwa wazi.Uzuri Pascal Mayalla wewe ni mwanasheria na unaelewa mikataba -HGA huwa ni siri ,Je hiyo transparency itapatikana kwa njia ipi?
Ni zaidi ya kuingilia siasa za kiuongozi. Kuandika mikataba ni shughuli inayosomewa vyuoni tena miaka na miaka, haiandikwi tu kama barua za mapenzi.Mkuu Yohanne Mbatizaji, johnthebaptist , mimi sitembei warakani, japo ni Mkatoliki lakini siungi mkono waraka, kwasababu ni kuchanganya dini na siasa Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
Kumbe dipiwedi ni Mnyama. ?? 😂😂😂🙏🙏Kwishnahi babuj!View attachment 2727329
Wanabodi,
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.
Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!
Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la Dp world
Mkuu utukufu mwanjisi , baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.
Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.
The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.
Hizi HGA usually takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.
Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, Waziri Mkuu wetu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, alituahidi hoja zenu zote zenye mashiko, zitakuwa zimezingatiwa na kuwa accommodated kwenye HGA.
The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Sasa mbona Yesu alilipa kodi na Makanisa hayalipi kodi?Mkuu Yohanne Mbatizaji, johnthebaptist , mimi sitembei warakani, japo ni Mkatoliki lakini siungi mkono waraka, kwasababu ni kuchanganya dini na siasa Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
Hatuoni hizi taratibu na urasimu wake kama zinachelewesha uchumi wetu kwa ujumla, hatuwezi kuona hilo suala kwa sababu wengi wetu sio wadau wa moja kwa moja wa biashara za bandari.Utaratibu wa kisheria ufuatwe tu kama Tender itangazwe tuweke masharti yetu ataekidhi sawa