Baada ya Injinia Hersi Said kuchukua Fomu Yanga SC taratibu 'ANGUKO' la Yanga SC naanza kuliona kwa mbali

Mtu akikuambia Conflict of Interest mwambie akupe maelezo kwa kina.


Mo Dewji aliiweka Simba Queens chini ya Dada yake.

Mo Dewji akampa Demu wake u C.E.O


Huko kote hatukusikia conflict of interest. [emoji23][emoji23]

Itakuwa ulikuwa mtoto
 
Katiba ya yanga inamruhusu kufanya ivyo au aimruhusu? Kama inamruhusu anayo haki yake ya msingi kugombea, auwezi kumzuia mtu kama utaratibu wa kisheria umefuatwa kwa kuweka sababu za kufikirika, Hersi ni mwanachama hai wa yanga na ni kiongozi ndani ya yanga ana haki zote za kugombea cheo chochote ndani ya yanga kwa kufuata katiba inavyosema, habari ya ajira yake huko gsm ni mambo yake binafsi anabaki kuwa mwajiriwa kama wengine,sidhani kama kwenye katiba ya yanga kuna kipengele kinachomzuia hersi kugombea nafasi ya urais wa timu, akipo, kwaiyo hizi propaganda za kipuuzi hazina mashiko wengine wanapuyanga tu kama malofa ukiwauliza katiba ya yanga mmeisoma? Je mnaijua vizuri? Awana majibu ya kukupa, katiba ndio inayoendesha shughuli zote za klabu kikanuni na kisheria, kama akuna mahala ambapo katiba imevunjwa basi wahusika wanakuwa sahihi kwenye mambo wanayoyafanya, weww unasema anguko ilitakiwa ufurahie ilo anguko ili wewe utoboe kupitia anguko la mwenzako na sio hizi huruma za kinafiki, akuna klabu yoyote yenye katiba nzuri kama ya yanga hapa nchini ndo maana mchakato wao kuelekea uwekezaji unakwenda vizuri mpaka sasa
 
Urais sio zawadi ya usajiri ndugu
 
Kama nyie anguko lenu baada ya timu kuchukuliwa na Mo akamuonga demu wake Barbara
 
Never
 
Na hapo ndipo walipotumia makolo Kupitia makonda kuihujumu Yanga kwa kudhoofisha kila alichokuwa nacho Yusuph Manji, leo hii ni kinyume chake, wao wako wapi na yanga iko wapi? Mungu Fundi kwelikweli.
Dah..walijua kutuvuruga yaani naomba hii miaka nasi tuwavuruge hadi wajiulize hiki nini
 
inasikitisha sana kikundi kidooogo kuhodhi team ya wananchi, huu ni mgongano wa kimaslahi kabisa, haikubaliki hii
Tumeridhia una la kusema kolo? Mbona nyie timu mmemkabidhi muhindi yule
 
😁😁😁😁
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Unayo katiba ya yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…