Katiba ya yanga inamruhusu kufanya ivyo au aimruhusu? Kama inamruhusu anayo haki yake ya msingi kugombea, auwezi kumzuia mtu kama utaratibu wa kisheria umefuatwa kwa kuweka sababu za kufikirika, Hersi ni mwanachama hai wa yanga na ni kiongozi ndani ya yanga ana haki zote za kugombea cheo chochote ndani ya yanga kwa kufuata katiba inavyosema, habari ya ajira yake huko gsm ni mambo yake binafsi anabaki kuwa mwajiriwa kama wengine,sidhani kama kwenye katiba ya yanga kuna kipengele kinachomzuia hersi kugombea nafasi ya urais wa timu, akipo, kwaiyo hizi propaganda za kipuuzi hazina mashiko wengine wanapuyanga tu kama malofa ukiwauliza katiba ya yanga mmeisoma? Je mnaijua vizuri? Awana majibu ya kukupa, katiba ndio inayoendesha shughuli zote za klabu kikanuni na kisheria, kama akuna mahala ambapo katiba imevunjwa basi wahusika wanakuwa sahihi kwenye mambo wanayoyafanya, weww unasema anguko ilitakiwa ufurahie ilo anguko ili wewe utoboe kupitia anguko la mwenzako na sio hizi huruma za kinafiki, akuna klabu yoyote yenye katiba nzuri kama ya yanga hapa nchini ndo maana mchakato wao kuelekea uwekezaji unakwenda vizuri mpaka sasa