Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Iran imeanza maandalizi ya kushambuliwa na Israel baada ya vyanzo vyake kudhibitisha kuwa wakati wowote wanaweza kushambuliwa na Israel.
Juhudi mbalimbali zimefanya katika jeshi lake ili kuwaweka kwenye hali ya tahadhali ya juu vilevile wameandaa mpango mkakati wa kuwalinda viongozi wa nchi hiyo akiwemo Gaidi Ayatollah Khamenei kwa kumpa gari lisipenyeza risasi.
Mytake Juhudi zao zote hizo hazitazaa Matanda yoyote wao wa subiri tu kipondo maana hata wao hawajui Israel itakuja kwa mtindo gani!!!!