Baada ya Iran kuona dalili zote kuwa Itashambuliwa tena na Israel yaanza kujihami mapema!!!

Hapo mwanzo tulikuwa tunadhani anga la muisrael halipenyeki ila baada kipondo kutoka kwa muajemi hadi wakaanza kuikimbia nchi yao ya ahadi na kuomba ndo tukajua wazi si lolote wala chochote
 
Hivi wewe ymeshaolewa??? Kama bado nipe ruhusa nije kukulipia mahari, maana nahisi unajua kubembeleza.
 
Ndugu wewe zilete kabisa ingawaje najua Wafuga Midevu na Majini watajitahidi sana kukuzodoa ili uvunjike moyo wewe tupashe mpaka tupashike tu!!!
Mbona mmejengewa chuki dhidi ya wenzenu? We Iran amewahi kukuumiza kwa lipi? Ina maana Iran inakukwaza zaidi kuliko yale anayoyafanya Israel pale Gaza? Mbona Iran haijafanya ata robo ya kile kinachoendelea Gaza? Hizi chuki zenu zinatokana na nini hasa?
 
sio kujihami sasa hivi mashoga mnaenda kufutwa ulimwenguni mkafirne kaburini
 
Ayatollah ni kiongozi huko Iran nchi ambayo ni Mfadhili mkubwa wa magaidi wa Houth,Hamad na Hezbollah anashindwaje yeye kuwa Gaidi mkuu???
Israel ina support magaidi wa HTS huko Syria, SDF ya Syria, PKK huko Uturuki na RSF ya Sudan je una nao tuwaite magaidi?
 
Hapo mwanzo tulikuwa tunadhani anga la muisrael halipenyeki ila baada kipondo kutoka kwa muajemi hadi wakaanza kuikimbia nchi yao ya ahadi na kuomba ndo tukajua wazi si lolote wala chochote

Hivi wewe ymeshaolewa??? Kama bado nipe ruhusa nije kukulipia mahari, maana nahisi unajua kubembeleza.
Usifikiri watę ni Mashoga kama wewe!!!
 
Sisi tukishava magauni na vipedo pusha na kufuga ndevu chini kobaz. Baaaasi tunajiona waarabu kabisa tukifunga na kilemba... Ha ha ha ha
Hivi hayo maneno ya kejeli mnayatolea wapi wakati Yesu amefuga ndevu na kuvaa kanzu na ameyataja kuwa ni mavazi ya heshima.
 
Hivi hayo maneno ya kejeli mnayatolea wapi wakati Yesu amefuga ndevu na kuvaa kanzu na ameyataja kuwa ni mavazi ya heshima.
Ulimuona? Au Unaongelea Yesu wa kwenye video?
 
🤣🤣, Ayatollah hataki mazoea na mtu.
 
Nafikiri kwa sasa wanatakiwa watumie silaha nzito zaidi ya zile walizotumia.
Wasiwe na huruma sana ya kidini bali wapige missiles nzito sana zi takazomaliza shughuli mapema yaani mambo yasiwe mengi.Mtu anataka kukuangamiza halafu unamchekea chekea.
 

Sawa Malkia Zumaridi, lakini Waambie hao mashoga zako Mayahudi wasimtegemeee Marekani kama kweli wao wana uwezo wapigane peke yao
 
Aayah basi,wathubutu waone,round hii round hii, mayahudi watajuta.
Round ya kwanza Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wa Kijeshi 30+ na Wanasansi 60+ na Round ya Pili Iran anategemea atapigwa vibaya sana na kuna uwezekano mkubwa Ayatollah Khamenei ataangamizwa kama hawatamficha shimoni!!
 

Attachments

  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 26
  • IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 20
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 22
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 24
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 26
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 27
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 29
Hahahaaaaaa Natamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…