Vita ya hapo ipo very clear kabisa atakayepoteza ukuu wake ni usa na uchina anaomba mungu usa aendeleze arrogance of power ili opotee mazimaxAmir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani:
Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani hivyo ni rahisi kwa nchi yake kuwashambulia askari hao kwa sababu wako kwenye nyumba ya vioo!! Huu ni msamiati ambao kamanda huyu ameutoa najua Marekani nao wameuelewa vizuri sana.
Kwahiyo wao US ni wajinga, wataenda kumchokoza Iran bila ya kuwa na mpango wa kujilindaAmir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani:
Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani hivyo ni rahisi kwa nchi yake kuwashambulia askari hao kwa sababu wako kwenye nyumba ya vioo!! Huu ni msamiati ambao kamanda huyu ameutoa najua Marekani nao wameuelewa vizuri sana.
Wanailinda Israel lakini wahuthi na Hamans wanajipigia tu na hao ni wajukuu wa muiraniKwahiyo wao US ni wajinga, wataenda kumchokoza Iran bila ya kuwa na mpango wa kujilinda
Kidogo kidogo mwisho unasogea.Wanailinda Israel lakini wahuthi na Hamans wanajipigia tu na hao ni wajukuu wa muirani
Maskini sisi mzee sio wao ...hao wote wakubwa wazichape tuh ..hakuna maskin apoMasikini halafu badae watakimbilia baraza la usalama la umoja wa mataifa kulia lia
Mbona hausemi sehemu zote hizo muisrael anamtanguliza marekani tena hapo kwa muirani, muisrael hawezi gusaKidogo kidogo mwisho unasogea.
Ilikuwa.......
Syria ....
Israel akigusa amekwisha. Imeisha
Hamas....
Israel haiwawezi, kidogo kidogo tukasikia, Inaua wanawake na watoto. Mara free Palestina. Sasa hivi stori kubwa ni ya ujenzi wa Gaza mpya na sio Hamas tena kwenye mjadala.
Hezbola.....
Hapo akigusa Israel amekwisha. Oooh hao sio Hamas. Mara cease fire, mara kimya tunasikia tu Rais wa Lebanon anatakiwa ahakikishe anasimamia nchi dhidi ya genge la wanamgambo wa Hamas na wakati huohuo Israel anaingia muda wowote kujipigia akihisi jambo.
Houth......
Hao sasa ndio kiboko ya Israel. Mambo yanazidi kuiva taratinu huku aliepo nyuma ya kinyago hiki cha Houth akichokozwa kisaikolojia kwa barua na tambo. Kipindi hiki hakuna namna mto Frat lazima ukaushwe.
Iran...
Hakuna namna, matawi yakishamalizika kukatwa, inakuwa rahisi kuangusha shina bila kuleta madhara na kishindo kikubwa. Muda unasogea kwa kasi ya ajabu.
Hawa waIran wa Namtumbo wanaona Ayatola ni saiz ya Trump. Huwaambii kituMasikini halafu badae watakimbilia baraza la usalama la umoja wa mataifa kulia lia
Si tayari umeshasema wewe. Usilazimishe watu waseme unachotaka.Mbona hausemi sehemu zote hizo muisrael anamtanguliza marekani tena hapo kwa muirani, muisrael hawezi gusa