Baada ya Iran kupewa jambajamba na marekani kamanda wa jeshi la anga la Iran ajibu mapigo

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani:

Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani hivyo ni rahisi kwa nchi yake kuwashambulia askari hao kwa sababu wako kwenye nyumba ya vioo!! Huu ni msamiati ambao kamanda huyu ameutoa najua Marekani nao wameuelewa vizuri sana.

Vita ya hapo ipo very clear kabisa atakayepoteza ukuu wake ni usa na uchina anaomba mungu usa aendeleze arrogance of power ili opotee mazimax
 
Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani:

Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani hivyo ni rahisi kwa nchi yake kuwashambulia askari hao kwa sababu wako kwenye nyumba ya vioo!! Huu ni msamiati ambao kamanda huyu ameutoa najua Marekani nao wameuelewa vizuri sana.

Kwahiyo wao US ni wajinga, wataenda kumchokoza Iran bila ya kuwa na mpango wa kujilinda
 
Pro Rusia na China wapo karibu kabisa kuomba hii mbungi ipigwe.
Akuna habari ya,''hatuchezi hatuchezi hatuchezi".
 
Hawa Hawa mashabiki wa Iran baadae watakimbilia ALJEZEERA ili ionyeshe wanawake na watoto wanavyokufa😂😂😂na kuanzisha links za kutoa misaada Kwa Iran. Mossad, CIA, FBI, AGENTS WA SCOTLAND YARD N.K washamaliza kazi Yao. Sitashangaa kuona baadhi ya silaha zikilipukia ndani ya Iran. Assassinations zikifanywa na hawa agents wenye asili ya Iran. Iran is more divided than ever. Time Will tell
 
Shida kama kawaida itakuwa ni kwa wanawake na watoto kwani ndio watakao lazimishwa kuwa kinga ya majeshi ya Iran.

Hii ni njia ya kujihami inayotumiwa na watu wenye imani ya kiislam wanapozidiwa vitani na hii mbinu ilitumiwa sana na akina Mohammed kwenye vita vyao vya kueneza imani yao.
 
US atawatumia waarabu kummaliza Iran, Iran hapo alipo ana maadui Kila mahali, waarabu washasurrend Kwa Israel na marekani, kabaki muajemi tu ambaye anatafutiwa sababu, US si mpumbavu hivyo maana china yupo karibu, anaombea kivyovyote vile US ajichanganye afanye kosa la karne then amuache hata Iran kwenye mataa, kitu ambacho US hawezi kukubali maana hata yeye anajua njia aliyoingilia kuwa superpower.
 
Wanailinda Israel lakini wahuthi na Hamans wanajipigia tu na hao ni wajukuu wa muirani
Kidogo kidogo mwisho unasogea.

Ilikuwa.......
Syria ....
Israel akigusa amekwisha. Imeisha

Hamas....
Israel haiwawezi, kidogo kidogo tukasikia, Inaua wanawake na watoto. Mara free Palestina. Sasa hivi stori kubwa ni ya ujenzi wa Gaza mpya na sio Hamas tena kwenye mjadala.

Hezbola.....
Hapo akigusa Israel amekwisha. Oooh hao sio Hamas. Mara cease fire, mara kimya tunasikia tu Rais wa Lebanon anatakiwa ahakikishe anasimamia nchi dhidi ya genge la wanamgambo wa Hamas na wakati huohuo Israel anaingia muda wowote kujipigia akihisi jambo.

Houth......
Hao sasa ndio kiboko ya Israel. Mambo yanazidi kuiva taratinu huku aliepo nyuma ya kinyago hiki cha Houth akichokozwa kisaikolojia kwa barua na tambo. Kipindi hiki hakuna namna mto Frat lazima ukaushwe.

Iran...
Hakuna namna, matawi yakishamalizika kukatwa, inakuwa rahisi kuangusha shina bila kuleta madhara na kishindo kikubwa. Muda unasogea kwa kasi ya ajabu.
 
Mbona hausemi sehemu zote hizo muisrael anamtanguliza marekani tena hapo kwa muirani, muisrael hawezi gusa
 
Si tayari umeshasema wewe. Usilazimishe watu waseme unachotaka.

Mbona mimi nasema Iran anamtanguliza Hamas, Hezbola na Houth na sijakwambia wewe useme😎😎
 
Back
Top Bottom