Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam
Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja , mitambo ya maji na Umeme Irani wakasema Sasa tumechoka acha acha na sisi tuingie vitani
Wakawa hawasubiri tena washambuliwe Ili wajibu wakawa wao ndio wanaanzisha mashambulizi ikawa Kila siku base za US za mashariki ya kati zinawaka moto
US akataka kutumia Nyukilia Ili kulazimisha ushindi China na Kiduku wakamwambia ole wako utumie Nyukilia
Sasa hivi Trump akisafiri anafichwa katika vitololi vya chakula vya airport
Haiwezekani kuonea watu Miaka yote