Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

Kwanza usiingize udini katika hi vita watu wote duniani wanajua hi ni vita ya kiuchumi sio dini labda kama wewe ni kilaza ndio ataadhani kuwa hi ni vita ya kidini

Pili Base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Baharrein Ina thamani kuliko makatibu kata wote waliyopo Marekani
Ballistic missile za Irani zilitua katika hiyo base hakuna hata panya aliyefanikiwa kutoka salama na sio hiyo tu amelipua base zote za Marekani katika mashariki ya kati

Tatu Irani sio wauwaji wa watu wasio na hatia maana hata Mungu na Sheria za kimatafa zinakataza kuuwa viongozi wa nchi wakiwa sebereni kwao na familia zao wanapata dinner

Ballistic missile za Irani zinauwezo wa kufika sehemu yoyote ndani ya Israel hivyo hawashindwi kurenga shule za chekechea kama walivyo Fanya wao lakini Irani wanamuogopa Mungu ila Kwa kafiri kama wewe na makafiri wenzako akina Trump na Netanyau mnaona sawa kuuwa watoto
Mtetezi wa uislamu
 
Nabii Netanyahu anasema thubutuuu
 
Iran imegezwa vifusi nyie wairan wa ngoreme mnakaza mafuvu
 
Bila udini/uislamu usingekuwa upande wa Iran acha uongo wewe muislam.
Yaani raslimali za Bongo zisikuume ila uumwe na raslimali za Iran na Venezuela?
Kwamba hatukufahamu kila siku unakuja na mada za Palestina,Hizbollah ,houthi na Wala huongelei mauaji ya 25/10.
We read between the lines na tunajua unachosimamia
Waislam wote wanalaani dhuluma wanayofanyiwa Venezuela
kwani Venezuela ni nchi ya kiislam?

Kuhusu rasilimali za Tanzania tafuta historia ya kweli ni nani aliyeleta uhuru katika nchi hii kama sio waislam?

Ukiwa mkiristo alafu ukiwa mshamba unakuwa kama msukule Yani unakuwa upo upo tu

Hapa nikikuambia mdhamini wa M23 ni Marekani utapinga
 
Back
Top Bottom