Wako wapi great thinkers wa JF?US akataka kutumia Nyukilia Ili kulazimisha ushindi China na Kiduku wakamwambia ole wako utumie Nyukilia🤣
Ngoja vichawa vyeusi vije kukuzodoa. Ila ukweli ndiyo huo! Huyu mpuuzi ameyatimba. Alidanganywa na yule shetani mwenzake asiyechagua binadamu wa kuua! Akajua mambo yatakuwa ni mteremko.
Imagine amesitisha vita huku malengo ya hiyo vita yakiwa hayajatimia! Badala yake amesababisha bei ya mafuta kote duniani kupanda maradufu na hivyo kuathiri uchumi wa dunia.
Hahahaha 😂 😂 😂Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam
Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja , mitambo ya maji na Umeme Irani wakasema Sasa tumechoka acha acha na sisi tuingie vitani
Wakawa hawasubiri tena washambuliwe Ili wajibu wakawa wao ndio wanaanzisha mashambulizi ikawa Kila siku base za US za mashariki ya kati zinawaka moto
US akataka kutumia Nyukilia Ili kulazimisha ushindi China na Kiduku wakamwambia ole wako utumie Nyukilia
Sasa hivi Trump akisafiri anafichwa katika vitololi vya chakula vya airport
Haiwezekani kuonea watu Miaka yote
US kashindwa vita kwa muono wa kiislamuMara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam
Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja , mitambo ya maji na Umeme Irani wakasema Sasa tumechoka acha acha na sisi tuingie vitani
Wakawa hawasubiri tena washambuliwe Ili wajibu wakawa wao ndio wanaanzisha mashambulizi ikawa Kila siku base za US za mashariki ya kati zinawaka moto
US akataka kutumia Nyukilia Ili kulazimisha ushindi China na Kiduku wakamwambia ole wako utumie Nyukilia
Sasa hivi Trump akisafiri anafichwa katika vitololi vya chakula vya airport
Haiwezekani kuonea watu Miaka yote
Usichokifahamu ni hiki hapa; Marekani ana maslahi yake ndani na nje ya nchi yake (kwa sababu yeye ni Super Power). Maslahi hayo ni pamoja na kambi za jeshi, makampuni ya mafuta na vitega uchumi mbalimbali kote duniani.Kama hakuna hata jengo moja lilidondoka pale Washington Dc basi Marekani hajashindwa vita.
Unapigana na mtu ambaye yeye anaweza kupiga kwako ila wewe huwezi kupiga kwake na unajisifu umeshinda.
Umemshinda vipi wakati Source ya Resources zake bado iko salama? Hii maana yake hata kesho akiamua anakushambulia tena.
Niko tayari kukosolewa though.
Kama hakuna hata katbu kata wa Marekani kauwawa kwenye hii vita basi nazidi kuishangaa reasoning ya vipanga wa kiislamu humu JFUsichokifahamu ni hiki hapa; Marekani ana maslahi yake ndani na nje ya nchi yake (kwa sababu yeye ni Super Power). Maslahi hayo ni pamoja na kambi za jeshi, makampuni ya mafuta na vitega uchumi mbalimbali kote duniani.
Sasa alichokuwa anakifanya Iran ni kuzishambulia hizo kambi za jeshi la Marekani ndani ya eneo la Mashariki ya Kati (Qatar, Kuwait, Jordan, Daudi Arabia, Bahrain, nk). Na amezichakaza kweli kiasi cha kufikia wanajeshi wake kuishi kwa kutangatanga. Ameharibu ndege za kijeshi za Marekani, ameharibu miundombinu ya washirika wake kama Marekani alivyofanya kwenye miundombinu ya Iran.
Marekani ametumia vifaa vya gharama sana kwenye kuzuia mashambulizi ya Iran, huku Iran wakitumia silaha za gharama ya kawaida kushambulia maslahi ya Marekani, nk.
Kwa hiyo kwenye hili Marekani amepuyanga kama ilivyotokea kwenye vita yake na Vietnam miaka ya 1970's. Alitumia nguvu kubwa halafu wenzake wakawa wanapiga kwenye mshono.
Kiufupi maslahi ya Marekani eneo la Mashariki ya Kati yameathiriwa pakubwa na hii vita kuliko walivyo tarajia.
Vijana muwe mnaelewa na msiwe na mihemko. Nimeongelea maslahi ya Marekani! Siyo habari ya katibu kata.Kama hakuna hata katbu kata wa Marekani kauwawa kwenye hii vita basi nazidi kuishangaa reasoning ya vipanga wa kiislamu humu JF
Kwa hiyo Iran kashinda vita?Vijana muwe mnaelewa na msiwe na mihemko. Nimeongelea maslahi ya Marekani! Siyo habari ya katibu kata.
Kwa taarifa zao rasmi wamepoteza jumla askari 18! Achilia mbali wale waliojeruhiwa! Bado kambi zake za kijeshi, mifumo yake ya kiulinzi, ndege zake kadhaa za kivita, nk. ziliharibiwa ndani ya Mashariki ya Kati! Vita imeisababishia nchi ya Marekani hasara ya mabilioni ya dola! Uchumi wa dunia umeyumba! Hizi zote unaona kwako siyo athari!! Mfano hao wanajeshi 18 waliopoteza maisha, kama hii vita isingetokea mpaka sasa si wangekuwa hai?
Kwa bahati mbaya uliyonayo US hapigani vita na Irani Kwa sababu ya kuutetea ukiristo ila anataka apate nafasi ya kuiba rasilimali za Irani Yani mafuta , Gasi na Uranium kama vile anavyowaibia Venezuela ila msukule kama wewe ndio unaingiza udini katika hii vita Sasa sijui dini yenu inaruhusu wiziUS kashindwa vita kwa muono wa kiislamu
Kwanza usiingize udini katika hi vita watu wote duniani wanajua hi ni vita ya kiuchumi sio dini labda kama wewe ni kilaza ndio ataadhani kuwa hi ni vita ya kidiniKama hakuna hata katbu kata wa Marekani kauwawa kwenye hii vita basi nazidi kuishangaa reasoning ya vipanga wa kiislamu humu JF
Bila udini/uislamu usingekuwa upande wa Iran acha uongo wewe muislam.Kwa bahati mbaya uliyonayo US hapigani vita na Irani Kwa sababu ya kuutetea ukiristo ila anataka apate nafasi ya kuiba rasilimali za Irani Yani mafuta , Gasi na Uranium kama vile anavyowaibia Venezuela ila msukule kama wewe ndio unaingiza udini katika hii vita Sasa sijui dini yenu inaruhusu wizi