Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

Mtetezi wa uislamu
 
Nabii Netanyahu anasema thubutuuu
 
Iran imegezwa vifusi nyie wairan wa ngoreme mnakaza mafuvu
 
Waislam wote wanalaani dhuluma wanayofanyiwa Venezuela
kwani Venezuela ni nchi ya kiislam?

Kuhusu rasilimali za Tanzania tafuta historia ya kweli ni nani aliyeleta uhuru katika nchi hii kama sio waislam?

Ukiwa mkiristo alafu ukiwa mshamba unakuwa kama msukule Yani unakuwa upo upo tu

Hapa nikikuambia mdhamini wa M23 ni Marekani utapinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…