Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani staff ya tiGo ni vilaza kama huyu anayetuma sms na kujijibu. Tangu lini ukapokea sms ya mtandao alafu ukareply ikaenda. Sasa kama haijaenda atajibu vipi hivi.
Waongo tu hao tcra Mimi Nina line ya halotel sijaisajili na kitambulisho cha NIDA ninacho ila hawajazima.
Wafanyakazi wa NiDA wanaona maisha wameyapatiaWale watu wa Nida wanajiona sana maana ukifika pale kwenye ofisi zao wanataka wawe kama wafalme uwabembeleeze mpaka wanaboa
"Kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao". TCRA wanajuaje kama mtu ana kitambulisho cha NIDA au namba lakini hajasajili laini?
Mkuu, bila shaka hujaelewa nilichoandika.Walisili miaka ya nyuma kwa vitambulisho vya taifa lakini kulikua hamna kuweka alama za vidole....nirahisi tu kuwajua
Sent using Jamii Forums mobile app
tutazima kwa awamu
Nadhani Nida wamesahau kuwa watanzania hawahitaji namba ya kitambulisho bali wanahitaji vitambulisho.Wale watu wa Nida wanajiona sana maana ukifika pale kwenye ofisi zao wanataka wawe kama wafalme uwabembeleeze mpaka wanaboa
🤣🤣🤣🤣🤣