Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jirani yangu hajasajili line yake ya mtandao fulani lakini mpk leo hii trh 21/01/2020 anapeta full mawasiliano. Kwa yeyote anajua mtu ambaye line yake imezimwa kwa kutosajili alete mrejesho
ndiondio kitu kama hichoHii inaitwa, ukinipiga umenionea.. Ukiniacha, umeniogopa.
Ila wapinzani wa serikali hamna shukrani. Sijui tatizo lenu ni lipi haswaTena nilikuwa nashangaa watu wanatetemeka, uwezo huo TCRA hawana. Kama wangekuwa na huo uwezo mbona wangeweza kuchukua fingerprint zilizoko kwenye driving license na vitambulisho vya kura. Hata hayo matokeo ya kura huwa wanatangaza yasiyo halisia na wala sio kuwa wanautaalamu wowote wa kucheza na mfumo.
Ila wapinzani wa serikali hamna shukrani. Sijui tatizo lenu ni lipi haswa
Nitamshanga service provider atayezima simu ambayo haijasajiliwa ili akose mapato .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona watu wameshafungiwa line?what are you talking about
Sasa wanajikuta wanafunga na zilizosajiliwa. Yaani TCRA wamenishangaza hawana uwezo wa kutrace line za simu zinazofanya uhalifu hadi wanatusumbua kusajili line za simu kwa Vitambulisho vya Nida. Cha kushangaza Passport tunachukuliwa finger print,leseni,kitambulisho cha mpiga kura.Sababu zilizotolewa ya kwamba wanazima kwa awamu, ni uongo na kuficha aibu yao kwa kushindwa kufunga laini.
Utaalamu huo upo ndani ya mtandao husika na wao WAMEGOMA kufunga laini hizo baada ya kuombwa na TCRA.
Hapo awali, walishindwa kupata teknolojia ambayo ingetumia kifaa cha aina moja ambacho kingetumika kusajili laini za mitandao yote, badala yake wakawarushia mpira mitandao husika isajili laini za wateja wao. KAMA NCHI IKO MAKINI, wanakubalije sekta binafsi kuchukua CITIZENS SENSITIVE INFORMATIONS WITH FINGERPRINTS?
Walishindwa kufunga SIMU FEKI, eti wangeweza kufunga laini ambazo hazijasajiliwa?
Tunachokiweza ni ku-DIVERT MANUALLY matokeo ya kura ila kwa mambo kama haya, tuwaachie WESTERN COUNTRIES.