Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Waache maneno mengi wafunge tu, tutafungua miaka ya huko mbeleni.
 
Sababu zilizotolewa ya kwamba wanazima kwa awamu, ni uongo na kuficha aibu yao kwa kushindwa kufunga laini.

Utaalamu huo upo ndani ya mtandao husika na wao WAMEGOMA kufunga laini hizo baada ya kuombwa na TCRA.

Hapo awali, walishindwa kupata teknolojia ambayo ingetumia kifaa cha aina moja ambacho kingetumika kusajili laini za mitandao yote, badala yake wakawarushia mpira mitandao husika isajili laini za wateja wao. KAMA NCHI IKO MAKINI, wanakubalije sekta binafsi kuchukua CITIZENS SENSITIVE INFORMATIONS WITH FINGERPRINTS?

Walishindwa kufunga SIMU FEKI, eti wangeweza kufunga laini ambazo hazijasajiliwa?

Tunachokiweza ni ku-DIVERT MANUALLY matokeo ya kura ila kwa mambo kama haya, tuwaachie WESTERN COUNTRIES.
 
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba kujua ni kweli ambao hawajajisajili kwa alama za vidole laini zao zimefungwa au ilikuwa siasa tu kama tulivyozoea miaka yote matamko?

Naomba kujua maana naona shughuli zinaendelea kama kawaida au muda umeongezwa tena?
 
Tena nilikuwa nashangaa watu wanatetemeka, uwezo huo TCRA hawana. Kama wangekuwa na huo uwezo mbona wangeweza kuchukua fingerprint zilizoko kwenye driving license na vitambulisho vya kura. Hata hayo matokeo ya kura huwa wanatangaza yasiyo halisia na wala sio kuwa wanautaalamu wowote wa kucheza na mfumo.
 
Ila wapinzani wa serikali hamna shukrani. Sijui tatizo lenu ni lipi haswa
 
Kuna watu wameandika mambo mengi sana kwanini TCRA hawaja zima line za simu mara moja.

Wengine wamekuja na mawazo kwamba TCRA hawana teknologia ya kuzima simu.

Wengine eti zoezi la kuzima limezuiliwa kiana.

Ukweli ndio huu:

1. Ni kweli TCRA wanazima simu. Hawana utani.

2. Wanaozima laini za simu sio TCRA , bali ni makampuni ya simu za mkononi kwa maelekezo ya TCRA.

3. Kuzima kwa awamu ni kutokana na kwamba NIDA hawana uwezo wa kuwapa vitambulisho watu wote watakaofungiwa laini za simu kwa simu moja kama watu wote wakiamua kwenda NIDA kudai namba zao.

4. Kuondoa taharuki katika jamii.

5. Kupunguza tension kati ya serikali na wenye simu.

6. Kuwapa nafasi wananchi kutafuta vitambulisho na kusajili laini zao.

Hivyo suala la kuzima kwa awamu limepangwa na lipo kimkakati.

Nawasilisha.

Tabutupu

Nyaishozi, Kagera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wapinzani wa serikali hamna shukrani. Sijui tatizo lenu ni lipi haswa

Shukran ya usumbufu usio na sababu? Hizo line tulisajili kwa kutumia vitambulisho vya kura vyenye finger print. Na utaratibu/sheria inatambua kitambulisho cha kura, driving licence nk kama vitambulisho halali kwa usajili wa line za simu, hii ya kulazimisha kitambulisho cha NIDA tu inatoka wapi? Kibaya zaidi tatizo liko huko huko NIDA. Mimi nilijiandikisha NIDA mwaka jana mwezi wa tatu, mpaka leo sina nakala ya kitambulisho zaidi ya namba, sasa hapo shukran ya nini?
 
Sababu zilizotolewa ya kwamba wanazima kwa awamu, ni uongo na kuficha aibu yao kwa kushindwa kufunga laini.

Utaalamu huo upo ndani ya mtandao husika na wao WAMEGOMA kufunga laini hizo baada ya kuombwa na TCRA.

Hapo awali, walishindwa kupata teknolojia ambayo ingetumia kifaa cha aina moja ambacho kingetumika kusajili laini za mitandao yote, badala yake wakawarushia mpira mitandao husika isajili laini za wateja wao. KAMA NCHI IKO MAKINI, wanakubalije sekta binafsi kuchukua CITIZENS SENSITIVE INFORMATIONS WITH FINGERPRINTS?

Walishindwa kufunga SIMU FEKI, eti wangeweza kufunga laini ambazo hazijasajiliwa?

Tunachokiweza ni ku-DIVERT MANUALLY matokeo ya kura ila kwa mambo kama haya, tuwaachie WESTERN COUNTRIES.
Sasa wanajikuta wanafunga na zilizosajiliwa. Yaani TCRA wamenishangaza hawana uwezo wa kutrace line za simu zinazofanya uhalifu hadi wanatusumbua kusajili line za simu kwa Vitambulisho vya Nida. Cha kushangaza Passport tunachukuliwa finger print,leseni,kitambulisho cha mpiga kura.
 
Back
Top Bottom