Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Kwa maneno mengine ni sawa na kusema mitambo yao ya Kichina!
 
Waongo tu hao tcra Mimi Nina line ya halotel sijaisajili na kitambulisho cha NIDA ninacho ila hawajazima.

Bora umeona, ni matapeli tu. Mimi nina line tatu na zote ziko hewani. Hakuna mtu yoyote atanitishia. Nilishasajili huko nyuma, sio lazima nisajili kwa namba ya NIDA fullstop.
 
"Kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao". TCRA wanajuaje kama mtu ana kitambulisho cha NIDA au namba lakini hajasajili laini?
 
Walisili miaka ya nyuma kwa vitambulisho vya taifa lakini kulikua hamna kuweka alama za vidole....nirahisi tu kuwajua
"Kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao". TCRA wanajuaje kama mtu ana kitambulisho cha NIDA au namba lakini hajasajili laini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nida nao walikuwa wanataka tuwatambua tu iyo taasisi yao kama ipo,Ila soon zile meseji za matapeli tutaanza kuziona tena
 
Kuna jirani yangu hajasajili line yake ya mtandao fulani lakini mpk leo hii trh 21/01/2020 anapeta full mawasiliano. Kwa yeyote anajua mtu ambaye line yake imezimwa kwa kutosajili alete mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…