DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.

Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu square meter 6000 ambayo wananchi wamejenga na wanaishi wengine wakiwa na miaka zaidi ya 20 mahali hapo Salasala Big D au Mbezi Rafia kwa juu kwenye bomba kubwa la DAWASCO.

Papa Msofe amefika eneo hilo na hati haijajulikana kama ni halali au sio halali bado mpaka mamlaka zithibistishe.

Wananchi wanadhani Papa Msofe ameona Waziri Jerry Silaa hayupo basi amekuja kuwaghiribu wananachi wampe ardhi hiyo maana waziri Jerry Silaa alikuwa mwiba kwa matapeli wa ardhi kama akina msofe kama vile mzee Mushi.

Msofe anasifika kwa issue za kufoji, upigaji wa copper, na kudhulumu nyumba na ardhi za watu.
 
nchi inamagwiji wake hii,jitu moja latumia karatasi watu wengi wanatumia historia,sauti na huruma!.. mamlaka itaamua ivae miwani au ivue
 
Tutafia kwenye milango ya mahakama kikubwa ndugu yetu Msofe apewe ardhi yake
 
Na msofe ni moja kati ya wananchi wanaoijua vizuri mahakama ya Tanzania. Amekuwa na ameshinda kesi nyingi kwa akili zake zikiwemonza utakatishaji fedha. Anaijua vizuri milango na korido za mahakama.
Yaani wale mawinga wakaisikia kesi ya msofe tuu huwa wanagombania kubeba documents
 
sasa kama Jerry aligusa maslahi ya wakubwa wakaamua kumtoa unategemea nini? kimsingi jamaa aliiweza wizara na alipiga kazi kweli kweli ina kama kawaida yao masiisiiemu hayatakagi mtu anayegusa maslahi yao, sasahivi huyo aliyeteuliwa yani sijasikia hata kaongea lolote ,Mama yao anahangaika na matamasha tu na mwanaye Abdul , nchi yetu bahati mbaya sana.
 
Ile wizara ya ardhi inahitaji mtu fyatu kama jerry kidogo.
Papaa musofe aliposikia jerry katolewa tuu alichinja mbuzi

Maana utajiri wengi mwingi ni kudhulumu ardhi nzuri za watu na majumba huku akiwa chonga documents halali maana msofe ili jambo lake liende huwa anakata pesa kisawasawa. Ana operate ki escoba escobar greasing palm hands is his way of operating.
 
Jamaa miaka nenda rudi yeye anaishi kwa migogoro ya Ardhi..hapo ujue pana mtu wa ndani kampa taarifa kuhusu hicho kiwanja basi watatoka hao hata wawe 100...huyo Mzala ana taarifa za viwanja vingi ukanda huo ukikosea timing tu anakupeleka mahakamani na kiwanja ni chako hao wanajua kuzighiribu mahakama zetu..
 
Akishindwa kesi nabadili din
Kwa vile waziri wa sasa ni mtu wa hovyo, lazima msofe atashinda tu kesi. Ila kama waziri angeendelea kuwa Jerry Silaa nakuhakikishia kuwa jamaa angeshindwa kesi kabla hata ya kuanza kusikilizwa.
 
Mtu mmoja tu ana wasumbua akili mtaa mzima. Kama police wana poteza watu .wana mtaa wana shindwa kupoteza mtu kama huyu
 
R
Rafiki yake wa siku zote Alex Massawe hayuko nae huyo Papaa Msofe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…