Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.
Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu square meter 6000 ambayo wananchi wamejenga na wanaishi wengine wakiwa na miaka zaidi ya 20 mahali hapo Salasala Big D au Mbezi Rafia kwa juu kwenye bomba kubwa la DAWASCO.
Papa Msofe amefika eneo hilo na hati haijajulikana kama ni halali au sio halali bado mpaka mamlaka zithibistishe.
Wananchi wanadhani Papa Msofe ameona Waziri Jerry Silaa hayupo basi amekuja kuwaghiribu wananachi wampe ardhi hiyo maana waziri Jerry Silaa alikuwa mwiba kwa matapeli wa ardhi kama akina msofe kama vile mzee Mushi.
Msofe anasifika kwa issue za kufoji, upigaji wa copper, na kudhulumu nyumba na ardhi za watu.