Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

Tulisema mapema nyie w
Tuliwaonya tangu mwanzo kuwa mtapata kichaa hamkusikia! Ndugu zako wakikuwahi utapona hicho kichaa!
 
Reactions: Tui

Ushauri wangu kwako ni ule ule.

Tuna siku chini ya 10. Andaa kabisa ndege ya kukutorosha na familia yako.

Maana tunaenda kulikomboa hili Taifa na nakuhakikishia utaozea jela.
 
Dogo siku siyo nyingi utavua nguo uanze kutembea uchi ,afya yako ya akili ina changamoto kidogo.
Ushauri wangu kwako ni ule ule.

Tuna siku chini ya 10. Andaa kabisa ndege ya kukutorosha na familia yako.

Maana tunaenda kulikomboa hili Taifa na nakuhakikishia utaozea jela.
 
Jiandae kukimbia nchi fisadi mkubwa wewe
Nyinyi mkichokozwa kidogo tu mnafukuza watu nchini ndio mnataka kuongoza serikali, sasa tofauti yenu na CCM ni nini? maana ni matusi tu mtu akiwa na mawazo mbadala. Nini hasa mnapiginia..
 
Mafisadi sehemu yao ni jela. Ndo mana wananchi wakipata ukombozi wanakimbiaga nje ya nchi.
 
Ushauri wangu kwako ni ule ule.

Tuna siku chini ya 10. Andaa kabisa ndege ya kukutorosha na familia yako.

Maana tunaenda kulikomboa hili Taifa na nakuhakikishia utaozea jela.
Zimebaki siku 6 umeanza kutetemeka kuandamana ndo utaweza?
 
Jamaa watu wanadhani utani lakini inadhihirisha kwamba kweli akili imefetuka.Dalili ukiona unarudia rudia jambo kama santuri iliyokwaruzika jua wapangaji wamehama nyumba imebaki tupu.
 
Endeleeni kujipa moyo. Tutakumbushana hapa tarehe 30
 
Sipati picha aibu inayoenda kulikumba taifa hili baada ya October 29 🤣🤣
 
Mkuu,

Kweli kabisa unaamini jeshi litachukua nchi October 29 au unapiga punyeto la kisiasa tu hapa kujipoza kwenye mambo ambayo unajua hayawezekani?
 
Utaelewa kukikucha
 
Sikubaliani wala kupendezwa na mambo mengi ya Chama Tawala na GVT pia, ila ukweli Mchungu Jeshi haliwezi kufanya chochote

Acheni kuota Mchana
 
Kwa hiyo wanajeshi wetu si lolote si chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…