Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kauli ya Mwigulu kwa kweli ni ya Kijinga
Huo ndio ujinga wenyewe anaosemwa kuwa nao Mwigulu.nadhani mwigulu hajaeleweka ila ana hoja nzuri,nilichomuelewa ni kwamba anahisi walioambukizwa ni wengi hivo anaona ni bora tutangaze vifo na waliopona kutokana na kwamba hatupimi watu wote
naweza nisiwe sahihi lakini kwa nilichoelewq
Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu hawa wawili (mmoja akiwa ni kipenzi cha baba huku mwingine ni "outcast") wanatajwa kuwania jimbo moja la ubunge huko mkoani Singida.
Movie imefika patamu, baki hapo hapo usiondoke kwenye screen.
Karibu tena Jf, member mwenzetu Prof. Kitila Mkumbo, we missed you a lot!Tuache hizi siasa za majitaka. Tafadhali sana
Karibu tena Jf, member mwenzetu Prof. Kitila Mkumbo, we missed you a lot!
P