Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kauli ya Mwigulu kwa kweli ni ya Kijinga
Nakwambia CCM ina majitu mapumbafu HAKUNA mfanowe!!!
Kiukweli CCM Ni chama ambacho kumejengwa kwene msingi wa Propaganda na Uongo mwingi Sana...!!
Hiki Ni kitu Kiko ndani ya Mafisi wengi wa CCM...na ndo maana ukiangalia hata taarifa za Serikali ya CCM kuhusu Corona Virus zimejaa uongo mwingi kuliko Uhalisia wa Hali ilivyo on the ground!!! Shame on you CCM Rulers!