Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
ZiainisheYanga kachukua mara 27 acha stori za kwenye vijiwe vya ghahawa
Yanga kachukua mara 27 acha stori za kwenye vijiwe vya ghahawa
Kichaaa wewe umeandika nini sasaHii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa.
Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba.
Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa. Hujuma hizo tunaziona wazi wazi.
Tumewaacha mjitutumue kidogo. Tukianza msianze kuli lia tena.Makolo leo hii ndo wakusema wanahujumiwa. 😂😅
Sema ndugu zenu wenyewe ndo wanawamaliza, mbinu zenu zote zishajulikana. Hauna pa kutokea.
Mchezo wa Mbeya city vs Simba ni hujuma zipi unazosemea? Ni kadi nyekundu, penati na kuchezwa mpira dakika 98 au ni zipi? Kama ni hali ya uwanja mbona Azam kachezea uwanja huo huo na kashinda dhidi ya Mbeya kwanza? Na uwanja aliochezea leo Azam dhidi ya Prisons ni mbaya kuliko hata wa Manungu lakini Azam kashinda goli nne.Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa.
Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba.
Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa. Hujuma hizo tunaziona wazi wazi.
Sawa, na tunazidi kujitutumua na kujituma. Hakuna wa kututoa kileleni inshallah.Tumewaacha mjitutumue kidogo. Tukianza msianze kuli lia tena.
Simba hawakifanya mazozezi kwenye uwanja. Unajua sababu!?Mchezo wa Mbeya city vs Simba ni hujuma zipi unazosemea? Ni kadi nyekundu, penati na kuchezwa mpira dakika 98 au ni zipi? Kama ni hali ya uwanja mbona Azam kachezea uwanja huo huo na kashinda dhidi ya Mbeya kwanza? Na uwanja aliochezea leo Azam dhidi ya Prisons ni mbaya kuliko hata wa Manungu lakini Azam kashinda goli nne.
Ukilinganisha uwanja wa Jamuhuri Morogoro na wa Manungu, wa Manungu ni mzuri kwenye pitch kuliko wa jamuhuri tatizo ni hali ya mvua. Uwanja wa jamuhuri vipara kibao na mabonde kibao.
Hizi sababu angetoa shabiki wa Mbande FC Sawa.Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa.
Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba.
Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa. Hujuma hizo tunaziona wazi wazi.
Mbande FC ipo ligi daraja la ngapi!?Hizi sababu angetoa shabiki wa Mbande FC Sawa.
Na wewe hesabu hapaUnajua kuhesabu. Hebu hesabu hapa.
View attachment 2091936
Hakufanya mazoezi kwenye uwanja upi na kwanini?Simba hawakifanya mazozezi kwenye uwanja. Unajua sababu!?
Mimi nakupatia evidence kutoka kwenye page ya yanga wewe unaokoteza kutoka kwenye blogo za akina Oscar!?Na wewe hesabu hapa
ORODHA YA MABINGWA WA JUMLA LIGI KUU TZ BARA:
1965: Simba
1966: Simba
1967 : Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 : Yanga
1969 : Yanga
1970 : Yanga
1971 : Yanga
1972 : Yanga
1973 : Simba
1974 : Yanga
1975 : Mseto SC (Morogoro)
1976 : Simba
1977 : Simba
1978 : Simba
1979 : Simba
1980 : Simba
1981 : Yanga
1982 : Pan African
1983 : Yanga
1984 : Simba
1985 : Yanga
1986 : Tukuyu Stars (Mbeya)
1987 : Yanga
1988 : Coastal Union (Tanga)
1989 : Yanga
1990 : Simba
1991 : Yanga
1992 : Yanga
1993 : Yanga
1994 : Simba
1995 : Simba
1996 : Yanga
1997 : Yanga
1998 : Yanga
1999 : Mtibwa Sugar (Morogoro)
2000 : Mtibwa Sugar (Morogoro)
2001 : Simba
2002 : Yanga
2003 : Simba
2004 : Simba
2005 : Yanga
2006 : Yanga
2007 : Simba (Ligi Ndogo)
2008 : Yanga
2009: Yanga
2010: Simba SC
2011: Yanga SC
2012: Simba SC
2013: Yanga SC
2014: Azam FC
2015; Yanga SC
2016: Yanga SC
2017: Yanga SC
2018: Simba SC
2018: Simba SC
Unajua Simba SC alicheza na Mbeya City lini!? Na uwanja gani!?Hakufanya mazoezi kwenye uwanja upi na kwanini?
Andika vizuri ueleweke.Upumbavu mliouanzisha Makolo Fc aka Menyekundu ya msimbazi utawatafuna.
Mbona unaruka ruka hoja Badala ya kujibu hoja?Unajua Simba SC alicheza na Mbeya City lini!? Na uwanja gani!?