Baada ya kazi maalum kuisha uwanja wa Manungu utafungiwa

Baada ya kazi maalum kuisha uwanja wa Manungu utafungiwa

Hii picha unakufariji sana mpka msimu huu uishe utakua usha i post mara mia mbili
Wewe inakufariji au unakukera!?
Screenshot_20220115-185247.png
 
Mchezo wa Mbeya city vs Simba ni hujuma zipi unazosemea? Ni kadi nyekundu, penati na kuchezwa mpira dakika 98 au ni zipi? Kama ni hali ya uwanja mbona Azam kachezea uwanja huo huo na kashinda dhidi ya Mbeya kwanza? Na uwanja aliochezea leo Azam dhidi ya Prisons ni mbaya kuliko hata wa Manungu lakini Azam kashinda goli nne.

Ukilinganisha uwanja wa Jamuhuri Morogoro na wa Manungu, wa Manungu ni mzuri kwenye pitch kuliko wa jamuhuri tatizo ni hali ya mvua ndio uliopelekea pitch kuwa vile. Uwanja wa jamuhuri una vipara kibao na mabonde kibao.
Ni nini unachopinga na ni nn unakubali. UTOPOLO bhana. Ule ni uwanja au jaluba la mpunga.
 
Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa.

Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba.

Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa. Hujuma hizo tunaziona wazi wazi.
Unaumwa wewe si bure.
 
Kafanyeni usajili acheni kubwata Kama vile mmekatika vichwa, mmezidiwa kila kitu na yanga alafu unaleta upuuzi wako hapa, mpira ni takwimu ili ujue timu yako ikoje, yanga kawazidi magoli ya kufunga, kawazwaidi kwenye pasi zinazopigwa, kawazidi idadi ya wachezaji waliofunga magoli, yanga ndo timu iliyofungwa goli chache kuliko timu yoyote, yanga ndo timu yenye defence bora mpaka sasa na yenye safu nzuri ya kiungo na ushambuliaji kuliko timu yoyote ile ligi kuu, Sasa unaanzaje kufungua mdomo wako kwamba mnahujumiwa? Safu yenu ya ushambuliaji imefunga goli ngapi mpaka sasa, boko, kagere, mugalu, kibu denis,Morrison wamefunga goli ngapi mpaka sasa, muwe mnaacha utaahira!
Hawana timu hao wahuni wasikusumbue.
 
Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa.

Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba.

Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa. Hujuma hizo tunaziona wazi wazi.
Taahira
 
Mkishindwa Jiesiemu Kapanga Matokeo, Mkishinda Mnajitapa Kikosi Kipana. Hii Nongwa Sio ya Kawaida [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba ni team inayoongozwa na watu ambao hawajiamini kabisa hali inayopelekea
1)kulalamika sana
2)kutengeneza vipolo kwa namna yoyote iwayo ili wavitumie kupanga matokeo

conclusion: simba ni team mbovu kuliko maelezo.
 
Back
Top Bottom