Baada ya kazi maalum kuisha uwanja wa Manungu utafungiwa

Hauwezi fungiwa kwa propaganda maandazi za mikia timu zote zitacheza hapo, ufungiwe kwa ajili ya mvua? Umeona pitch ile nzuri kuliko ya Bunju
 
Hauwezi fungiwa kwa propaganda maandazi za mikia timu zote zitacheza hapo, ufungiwe kwa ajili ya mvua? Umeona pitch ile nzuri kuliko ya Bunju
Baada ya kazi maalum utasikia nakuambia.
 
Kafanyeni usajili acheni kubwata Kama vile mmekatika vichwa, mmezidiwa kila kitu na yanga alafu unaleta upuuzi wako hapa, mpira ni takwimu ili ujue timu yako ikoje, yanga kawazidi magoli ya kufunga, kawazidi kwenye pasi zinazopigwa, kawazidi idadi ya wachezaji waliofunga magoli, yanga ndo timu iliyofungwa goli chache kuliko timu yoyote, yanga ndo timu yenye defence bora mpaka sasa na yenye safu nzuri ya kiungo na ushambuliaji kuliko timu yoyote ile ligi kuu, Sasa unaanzaje kufungua mdomo wako kwamba mnahujumiwa? Safu yenu ya ushambuliaji imefunga goli ngapi mpaka sasa, boko, kagere, mugalu, kibu denis,Morrison wamefunga goli ngapi mpaka sasa, muwe mnaacha utaahira!
 
Subiri mwanangu ligi bado. Mbinu zenu tunazo. Ndoo tunabeba.
 
Subiri mwanangu ligi bado. Mbinu zenu tunazo. Ndoo tunabeba.
Sawa ligi bado ndo mtulie sasa sio mnaanza kujificha kwenye kichaka cha kuhujumiwa wakati ndo uwezo wa timu yenu, kila timu itavuna ilichopanda kwenye usajili usitegemee uende sambamba na aliyefanya home work yake vizuri kwenye usajili, ukipanda bangi usitegemee kuvuna mahindi brother!
 
Unajua kuhesabu. Hebu hesabu hapa.
View attachment 2091936
Hiki ndio kinacho waponza mashindwa kujenga timu mnatafta sababu za uongo na kweli, huo uwanja wa mbeya Azam , Yanga , KMC wamecheza hapo wamepata matokeo nyie kila siku ni kujidekeza, game ya kagera mkasingizia mafua , Mbeya City kiwanja leo tena kiwanja mechi ya Yanga mabango ya GSM yaani ilimradi tu mpate sababu ,ina maana msimu huu ndio viwanja vimekua vibovu zamani mlikua mnacheza mechi zote taifa?
 
Mbona unahamisha hamisha magoli mzee.

Umesema yanga anamakombe 27 nimekupa hapa uhesabu
 
Kwan simba imecheza peke yake katika huo uwanja leo?
 
Basi ufungiwe na ule mliopigwa kule Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…