Baada ya kazi maalum kuisha uwanja wa Manungu utafungiwa

Mwaka 98 na 92 nilikuwepo uwanjan mechi za mwisho yanga za kuchukua ubingwa mbona sioni hapa..kuna missing years hapa

Ubi
Sasa wewe na Yanga nani mwenye akili!?
Waambie wakuoneshe hilo kombe
 
Simba hawakifanya mazozezi kwenye uwanja. Unajua sababu!?
C tuliambiwa yule kocha wenu mspain aliwafundisha simba kucheza mpira mpaka kwenye maji , ndio maana mlishinda mechi ya shirikisho taifa uwanja ukiwa umejaa maji, kulikoni tena Leo puvu mkuu
 
Ikionekana una kasoro utafungiwa na kufanyiwa marekebisho km ilivyokua kwa Sokoine Mbeya, Jamhuri Morogoro, Mabatini Mlandizi, Ushirika Moshi na vingine vingi
So acha kupanic ovyo juzi Ruvu Shooting kacheza pale Sokoine na Mbeya City uwanja ulikua na maji hadi mpira haudundi ila hawajalia lia hujuma km wewe hapo
Mechi za mzunguko wa kwanza bado hazijaisha kifupi ligi bado ushaanza kelele hujiamini km vile unajisaidia kichakani
 
Hebu tuma picha tuone mwanangu. Mzee wa mwiko nyuma.
 
Baada ya kazi maalum utasikia nakuambia.
Haujafungiwa Nelson Mandela Sumbawanga ndo ufungiwe Manungu wenye pitch nzuri isipokuwa hali ya hewa? Hebu muwe natafuta sababu za kueleweka basi? Umewaona walipochezea Azam Jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…