So far govt of Tanzania has only given out Tshs290 billion ($125 million dollars) for construction of the SGR that requires $1.2 billion dollars. Where is the rest of the money and please break it down for us to be at par with what is in the ground na usitoe povu jibu kwa hoja kamilifu.
mwaswat inabidi ujaribu sana kujielimisha kuhusu mambo mbalimbali duniani yanavyoendeshwa, inaonekana hufahamu mambo mengi sana ya kidunia, hii inadhihirika katika michango yako humu jamvini, na maswali unayouliza.So far govt of Tanzania has only given out Tshs290 billion ($125 million dollars) for construction of the SGR that requires $1.2 billion dollars. Where is the rest of the money and please break it down for us to be at par with what is in the ground na usitoe povu jibu kwa hoja kamilifu.
Sawa basi Tanzania ndo inaongoza kwa demokrasia kwenye ukanda huu na Kenya bado sana. Uchumi wa Kenya unasambaratika na dawa yake ni David Ndii. Tosha. Nimekuelewa.Nimekuambia katika masuala ya uchumi ni muhimu asikilizwe, katika mambo ya siasa huko mtajua nini la kufanya, ila ni mchumi mzuri sana, msiposikiliza ushauri wake kwa kiburi cha Jubilee vs NASA, uchumi wa Kenya utaendelea kusambaratika kama tunavyoushuhudia hivi sasa, ni muhimu kutenganisha siasa na uchumi.
Kwa taarifa yako 80% ya mambo anayofanya Magufuli yanatokana na kelele za wapinzani, hata wapinzani wamekiri kwamba Magufuli anatimiza yale ambay
umetoa wap hicho kiasi cha $125 mln?So far govt of Tanzania has only given out Tshs290 billion ($125 million dollars) for construction of the SGR that requires $1.2 billion dollars. Where is the rest of the money and please break it down for us to be at par with what is in the ground na usitoe povu jibu kwa hoja kamilifu.
Depay amesema reli inafika Kisumu, wewe unamletea taarifa ambayo inaongelea kuhusu Kisumu-Malaba section, onyesha ni wapindani ya hiyo taarif imeandikwa kuna ofu reli haitafika kisumu??
Haifiki mmepeleka Naivasha insteadDepay amesema reli inafika Kisumu, wewe unamletea taarifa ambayo inaongelea kuhusu Kisumu-Malaba section, onyesha ni wapindani ya hiyo taarif imeandikwa kuna ofu reli haitafika kisumu??
SGR from Mombasa to Kisumu -850km is not the issue here, the issue is SGR from Kisumu to malaba -120km
President Uhuru Kenyatta with China's Xi JInping before the start of the Belt and Road Forum for International Cooperation leaders round-table meeting, May 15, 2017. /PSCU
President Uhuru Kenyatta has secured an additional $3.59 billion from China to extend SGR from Naivasha to Kisumu.
Uhuru secured the amount that will be available immediately at a meeting with Chinese President XI Jinping on Monday.
“The President wants the railway to reach Kisumu then Malaba especially because of the new port that is being built [there],” said State House Spokesman Manoa Esipisu.
https://www.the-star.co.ke/news/201...e-from-china-to-extend-sgr-to-kisumu_c1561750
Kenyan President Uhuru Kenyatta (third right) speaks during his bilateral meeting with Chinese President Xi Jinping (not pictured) during the Belt and Road Forum for International Cooperation at the Great Hall of the People in Beijing on May 15, 2017. PHOTO| ETIENNE OLIVEAU | AFP
Chinese President Xi Jinping (top right) and Kenyan President Uhuru Kenyatta (top left) attend a signing ceremony after their bilateral meeting during the Belt and Road Forum for International Cooperation at the Great Hall of the People in Beijing on May 15, 2017. PHOTO| ETIENNE OLIVEAU | AFP
MhhKuna za is ya 100% reli ya Kenya Ikakomea Naivasha tena baada ya miaka mingi ijayo.
Andakapet zinasema Museveni alimtuma mjumbe wake juzi Tanzania kwa Magufuli kuliongelea hili suala huenda SGR ya Uganda ikapita Tanzania
The East African Newspaper.umetoa wap hicho kiasi cha $125 mln?
Mlisema pia sgr(mombasa-nairobi) na lamu ports ni white elephants tumewazoeaHaifiki mmepeleka Naivasha instead
hehehe,duh acha povuuuu.pesa hamna ya sgr ni ushabiki tuu 😀umetoa wap hicho kiasi cha $125 mln?
Unacho shindwa kuelewa ni kwamba kama Uganda wakibaki na meter gauge,, hakutakiuwa na treni inayotoka Mombasa mpaka kamapala. Kenya mtakuwa locked out kwenye railway business ya Uganda unless mrudi kutumia reli ya zamani. Unajikuta your going "back to square one".Depay amesema reli inafika Kisumu, wewe unamletea taarifa ambayo inaongelea kuhusu Kisumu-Malaba section, onyesha ni wapindani ya hiyo taarif imeandikwa kuna ofu reli haitafika kisumu??
SGR from Mombasa to Kisumu -850km is not the issue here, the issue is SGR from Kisumu to malaba -120km
President Uhuru Kenyatta with China's Xi JInping before the start of the Belt and Road Forum for International Cooperation leaders round-table meeting, May 15, 2017. /PSCU
President Uhuru Kenyatta has secured an additional $3.59 billion from China to extend SGR from Naivasha to Kisumu.
Uhuru secured the amount that will be available immediately at a meeting with Chinese President XI Jinping on Monday.
“The President wants the railway to reach Kisumu then Malaba especially because of the new port that is being built [there],” said State House Spokesman Manoa Esipisu.
https://www.the-star.co.ke/news/201...e-from-china-to-extend-sgr-to-kisumu_c1561750
Kenyan President Uhuru Kenyatta (third right) speaks during his bilateral meeting with Chinese President Xi Jinping (not pictured) during the Belt and Road Forum for International Cooperation at the Great Hall of the People in Beijing on May 15, 2017. PHOTO| ETIENNE OLIVEAU | AFP
Chinese President Xi Jinping (top right) and Kenyan President Uhuru Kenyatta (top left) attend a signing ceremony after their bilateral meeting during the Belt and Road Forum for International Cooperation at the Great Hall of the People in Beijing on May 15, 2017. PHOTO| ETIENNE OLIVEAU | AFP
Ulichoshindwa kukisoma, meter guage inayoongelewa kwa hiyo habri ni kutoka port bell hadi Kampala. which means mzigo wa reli ya SGR kutoka Mombasa ukifika Kisumu unapakiwa kwa meli, Masaa kadhaa badaye mzigo ukifika port bell unapakuliwa na kuwekwa juu ya treni ya mete guage hadi kampala. hio ndo worst case scenario yetu, na system hio hio ndo SGR ya Tz inapanga kutumia ksafirisha mizigo kpitia Mwanza. And FYI it takes an avg of 13hours from Kisumu-Port Bell while t takes an avg of 19 hours from Mwanza-port bell.Unacho shindwa kuelewa ni kwamba kama Uganda wakibaki na meter gauge,, hakutakiuwa na treni inayotoka Mombasa mpaka kamapala. Kenya mtakuwa locked out kwenye railway business ya Uganda unless mrudi kutumia reli ya zamani. Unajikuta your going "back to square one".
Labda umesahau au hutaki kuliongelea swala la Kisumu-Malaba-Kampala-Kigali. Hicho ndio kilikuwa kipande ambacho kenya walitegema kukitumia ndio kushika soko mpaka DRC. Waganda wanafikiria mara mbili, wanaona pesa ni ngumu. Original plan ilikuwa ukiweka mzigo Mombasa, same wagon inafika mpaka Kigali kama ilivyo Tazara. Ukipitia Malaba hata trani ya abiria inakuwa rahisi, kwa plan hii ya kupitia kisumu itabaki kuwa ndoto.Ulichoshindwa kukisoma, meter guage inayoongelewa kwa hiyo habri ni kutoka port bell hadi Kampala. which means mzigo wa reli ya SGR kutoka Mombasa ukifika Kisumu unapakiwa kwa meli, Masaa kadhaa badaye mzigo ukifika port bell unapakuliwa na kuwekwa juu ya treni ya mete guage hadi kampala. hio ndo worst case scenario yetu, na system hio hio ndo SGR ya Tz inapanga kutumia ksafirisha mizigo kpitia Mwanza
The same way plan yenu Ya SGR to Uganda Kupitia Mwanza itabaki kua ndoto ya tembo mweupe? Kisumu port ya kitambo ilikua ni port kubwa sana, mi wa kisumu ulikua ka kasi sababu ya reliya kitambo, there is no reason that cnt be replicated with a mordern SGR.Labda umesahau au hutaki kuliongelea swala la Kisumu-Malaba-Kampala-Kigali. Hicho ndio kilikuwa kipande ambacho kenya walitegema kukitumia ndio kushika soko mpaka DRC. Waganda wanafikiria mara mbili, wanaona pesa ni ngumu. Original plan ilikuwa ukiweka mzigo Mombasa, same wagon inafika mpaka Kigali kama ilivyo Tazara. Ukipitia Malaba hata trani ya abiria inakuwa rahisi, kwa plan hii ya kupitia kisumu itabaki kuwa ndoto.
mkuu umeleta somo la muhimu sana.ukweli ni kuwa m7 na majigambo yoote hata 5% ya hizo hela mchina anauliza hawezi pataThe same way plan yenu Ya SGR to Uganda Kupitia Mwanza itabaki kua ndoto ya tembo mweupe? Kisumu port ya kitambo ilikua ni port kubwa sana, mi wa kisumu ulikua ka kasi sababu ya reliya kitambo, there is no reason that cnt be replicated with a mordern SGR.
Orignal plan ilikuani mpaka Rwanda, ukiangalia picha za orignal masterplan huko DRC ilikua imechorwa dot dot dot na imeandikwa future kumaanishailikua ni baada ya kufika Rwanda na outh sudan alafu huko kwengine baadaye...
Issue kubwa hapa ni Uganda hana pesa, plain and simple! Kama ingekua na pesa hata hao wachina wangekua tayari kukopesha Uganda hata bila guaranteee yoyote kutoka Kenya manake wangejua kua Uganda ina uwezo wa kulipa kupitia njia nyengine, lakini sababu kuu ya kummpa Uganda conditions ni ili wa guarantee kua reli ita connect na Kenya ili hata Uganda ikishindwa kulip, reli inaweza kujilipia yenyewe.....
kuna aya moja muhimu hapo ndani ya hiyo habari, ukishasoma hiyo hata hakuna haja ya kusoma hizo story zengine... hiyo aya inasema
"
It is understood that a meeting that was to be held in Beijing in October to discuss the final funding proposal failed to materialise. “The ministers for transport and finance of the two countries were supposed to have engagements with China Exim Bank on the sections of Kisumu to Kampala via Malaba, but this flopped and instead the executives from China Exim Bank flew in to Kampala and Nairobi last November to carry out due diligence on the Uganda project proposal and contract application. Kampala was challenged to meet some financial conditions, which they said they would do before March this year,” The EastAfrican was told."
Uganda rethinks Kenya SGR over funding gaps
Uganda waliambiwa na Eximbank waoneshe uwezo wao wa kulipia angalau 15% of the project wakaambia Exim bank njooni baada ya miezi sita (From October 2017 to March 2018).
Muda huu wote since 2015 wamekua wakisema Kenya ndo inawazulia Uganda kupewa mkopo lakini 2017 waliulizwa waonyeshe pesa wakawaambia njooni 2018...
Alafu ukiangalia project yenyewe (apart from Kampala to port bell) reli ya Kampala to Malaba is the shortest route to anywhere, kama watshindwa kujenga SG to Malaba basi definately hawatakua na uwezowa kujenga SGR nyengine yoyote whichever route you pick
Tanzania ina fight for Ugandan route in two fronts, moja ni SGR kagera-Kyaka-Mtukula (mind you haipiti Mwanza kama unavyo fikiria wewe. Ya pili ni meter gauge Tanga-Arusha-Musoma-victoria. Wakenya na wachina wote mmeshidwa kuwashawishi waganda kama wakiuganisha treni yao to Mombasa watapata faida gani. The way things are, wanaweza kujijengea reli yao wakafika mpaka South Sudan na kuendelea. Wanaweza waka piggyback network ya Tanzania wakifika mpaka South Africa. Ndio maana nikasema Back To Square One maana ni lazima mjiulize mara mbili hii SGR italipa au vipi.The same way plan yenu Ya SGR to Uganda Kupitia Mwanza itabaki kua ndoto ya tembo mweupe? Kisumu port ya kitambo ilikua ni port kubwa sana, mi wa kisumu ulikua ka kasi sababu ya reliya kitambo, there is no reason that cnt be replicated with a mordern SGR.
Orignal plan ilikuani mpaka Rwanda, ukiangalia picha za orignal masterplan huko DRC ilikua imechorwa dot dot dot na imeandikwa future kumaanishailikua ni baada ya kufika Rwanda na outh sudan alafu huko kwengine baadaye...
Issue kubwa hapa ni Uganda hana pesa, plain and simple! Kama ingekua na pesa hata hao wachina wangekua tayari kukopesha Uganda hata bila guaranteee yoyote kutoka Kenya manake wangejua kua Uganda ina uwezo wa kulipa kupitia njia nyengine, lakini sababu kuu ya kummpa Uganda conditions ni ili wa guarantee kua reli ita connect na Kenya ili hata Uganda ikishindwa kulip, reli inaweza kujilipia yenyewe.....
kuna aya moja muhimu hapo ndani ya hiyo habari, ukishasoma hiyo hata hakuna haja ya kusoma hizo story zengine... hiyo aya inasema
"
It is understood that a meeting that was to be held in Beijing in October to discuss the final funding proposal failed to materialise. “The ministers for transport and finance of the two countries were supposed to have engagements with China Exim Bank on the sections of Kisumu to Kampala via Malaba, but this flopped and instead the executives from China Exim Bank flew in to Kampala and Nairobi last November to carry out due diligence on the Uganda project proposal and contract application. Kampala was challenged to meet some financial conditions, which they said they would do before March this year,” The EastAfrican was told."
Uganda rethinks Kenya SGR over funding gaps
Uganda waliambiwa na Eximbank waoneshe uwezo wao wa kulipia angalau 15% of the project wakaambia Exim bank njooni baada ya miezi sita (From October 2017 to March 2018).
Muda huu wote since 2015 wamekua wakisema Kenya ndo inawazulia Uganda kupewa mkopo lakini 2017 waliulizwa waonyeshe pesa wakawaambia njooni 2018...
Alafu ukiangalia project yenyewe (apart from Kampala to port bell) reli ya Kampala to Malaba is the shortest route to anywhere, kama watshindwa kujenga SG to Malaba basi definately hawatakua na uwezowa kujenga SGR nyengine yoyote whichever route you pick
Sio kama hawezi kupata, swali ni kwamba is he willing kutoa?mkuu umeleta somo la muhimu sana.ukweli ni kuwa m7 na majigambo yoote hata 5% ya hizo hela mchina anauliza hawezi pata
Oil waligundua 2005 ..... miaka 12! baada ya kuzindua mafuta na miaka miwili baada ya kupata mfadhili wa bomba, bado hawajaanza ujenzi! Kumbuku miaka hio miwili iliopita Lamu port ilikua bado iko kwa makaratasi, leo hii imefika 45% complete, bado ujenzi wa bomba lao halijaanza.mkuu umeleta somo la muhimu sana.ukweli ni kuwa m7 na majigambo yoote hata 5% ya hizo hela mchina anauliza hawezi pata