The same way plan yenu Ya SGR to Uganda Kupitia Mwanza itabaki kua ndoto ya tembo mweupe? Kisumu port ya kitambo ilikua ni port kubwa sana, mi wa kisumu ulikua ka kasi sababu ya reliya kitambo, there is no reason that cnt be replicated with a mordern SGR.
Orignal plan ilikuani mpaka Rwanda, ukiangalia picha za orignal masterplan huko DRC ilikua imechorwa dot dot dot na imeandikwa future kumaanishailikua ni baada ya kufika Rwanda na outh sudan alafu huko kwengine baadaye...
Issue kubwa hapa ni Uganda hana pesa, plain and simple! Kama ingekua na pesa hata hao wachina wangekua tayari kukopesha Uganda hata bila guaranteee yoyote kutoka Kenya manake wangejua kua Uganda ina uwezo wa kulipa kupitia njia nyengine, lakini sababu kuu ya kummpa Uganda conditions ni ili wa guarantee kua reli ita connect na Kenya ili hata Uganda ikishindwa kulip, reli inaweza kujilipia yenyewe.....
kuna aya moja muhimu hapo ndani ya hiyo habari, ukishasoma hiyo hata hakuna haja ya kusoma hizo story zengine... hiyo aya inasema
"
It is understood that a meeting that was to be held in Beijing in October to discuss the final funding proposal failed to materialise. “The ministers for transport and finance of the two countries were supposed to have engagements with China Exim Bank on the sections of Kisumu to Kampala via Malaba, but this flopped and instead the executives from China Exim Bank flew in to Kampala and Nairobi last November to carry out due diligence on the Uganda project proposal and contract application.
Kampala was challenged to meet some financial conditions, which they said they would do before March this year,”
The EastAfrican was told."
Uganda rethinks Kenya SGR over funding gaps
Uganda waliambiwa na Eximbank waoneshe uwezo wao wa kulipia angalau 15% of the project wakaambia Exim bank njooni baada ya miezi sita (From October 2017 to March 2018).
Muda huu wote since 2015 wamekua wakisema Kenya ndo inawazulia Uganda kupewa mkopo lakini 2017 waliulizwa waonyeshe pesa wakawaambia njooni 2018...
Alafu ukiangalia project yenyewe (apart from Kampala to port bell) reli ya Kampala to Malaba is the shortest route to anywhere, kama watshindwa kujenga SG to Malaba basi definately hawatakua na uwezowa kujenga SGR nyengine yoyote whichever route you pick